Kuna jamaa yangu kapigwa Milioni 20 na mke wake kamkimbia kamuachia manyoya

Sema huyo mwnamke dah ana roho ngumu sana, mwingne angebeba mali na watoto. But kuwaacha watoto tena usikute bado wadogo huyo ni muuwaji kabisa.
 
Baada ya kukaa na mke wake muda mrefu na akamuamini na kumuonesha account yenye kibunda hatimae mke kachota mkwanja wote na kulala mbele.

Tuweni makini wakuu.
Mke kajilipa za udobi wa boxers za mumewe na fidia kwa uchakavu wa godoro.Fedha hazioneshwioneshwi kama peremende.Kuwa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…