Yani leo shukuru Sina mood ya kuharibu Uzi wa mtu.Hayo ni magenge ya vijana wahuni, wanaopatikana kwenye baadhi ya sehemu huko Arusha.
Sio wote, usitujumuishe.
Lafudhi yao ndo imewapa umaarufu mnawaona wao tu wakati vijana wa namna hiyo wanapatikana kila mahali.
Basi ndugu zakoMi simo
Noma sanaHatari sana, Arusha Down
Nyata hapa fyade mzee tunapiga mdudu ngaa. Liteni tu, lialteza bablai mambo ni byeeYani leo shukuru Sina mood ya kuharibu Uzi wa mtu.
Ningekuvuruga Umbwa wewe😁
Hiyo Kanda kwa sasa vijana wanaojielewa wamebaki wa Kilimanjaro tu, hao wahuni wa Arusha tunao mpaka huku ni wahovyo hovyo tu, pombe Kali wanaziita visungura na mibange ndo vyakula vyako. Alafu wanajiona wanjanjaaaa!!! Sisi tunawachora tu. Kizazi chenye maadili kinapotea hapo ArushaNdugu zangu Hapa Arusha kuna shida kubwa sana kwa upande wa watoto wa kiume hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa.
Vijana wa kiume hapa Arusha hawapendi kufanya kazi na kujiingizia kipato.
Vijana wa kiume wa Arusha wamekumbwa na Kampeni ya kuolewa na wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama mashangazi ila sasa wamevuka mipaka mpaka kwa bibi zao.
Vijana wa kiume wa Arusha wamejiingiza kwenye ulevi wa kupindukia, pombe halali na haramu kwa pamoja.
Vijana wa kiume wa Arusha kwa vitendo vya uharifu, wizi na utapeli wamekubuhu.
Vijana wa kiume wa Arusha wana kampeni maalum, wazazi wao wakifariki wanafurahi ili wauze mali (mirathi) wapate hela za starehe.
Vijana wa kiume wa Arusha hawataki kuoa.
Vijana wa kiume wa Arusha akipata demu anataka alishwe, alipiwe kodi, vocha na hela za bando, ni Marioo wa kutupwa.
Hii inanikumbusha kwanini DogoJanja alifanya vile.
Vijana wa kiume Arusha wamevuka mipaka, wanakodishwa kuwa mabaasha ili wawaingilie mashoga kwa kulipwa.
Serikali, taasisi za dini, taasisi za kiraia na watu mmoja mmoja wenye mapenzi mema tulivalie njuga hili jambo kama halijawa ugonjwa wa kuambukiza kwenda mikoa mingine.
Hapa Arusha hali ni mbaya mno. Wenyeji wameshazoea na wana ona ni kawaida tu. Au wameshakata tamaa na hawana cha kufanya.
Hii ni kweli, nina mtoto wa ndugu yangu katelekeza mke na mtoto kakimbia ni AIBUBaadhi ya vijana wa Arusha:
Wanapenda kulelewa na wanawake watu wazima au wadada wenye uwezo.
Wanapenda favour, zawadi, surprise na kulipuwa bills. Kwa mara ya kwanza mwanaume ananikumbusha mwezi ule atakuwa na birthday nimpe zawadi alikuwa wa Arusha.
Ni watelekezaji wa familia. Kuacha mke na watoto wawili wachanga akaja Dar akabadili mawasiliano jambo la kawaida kwao.
Wanapenda kutegemea ukweni. "Yule si nilizaa nae ila kwao wanajiweza, mtoto anasomeshwa na mamamkwe"
Wanapenda kujipendekeza na kutegemea ndugu wenye uwezo kubebwa bila jitihada zao binafsi. Ile "nina bro wangu atamaliza we usiwaze"
Depal my friend kwa hawa kaka zako kazi unayo
Huu uzi bila picha ni uzushiNdugu zangu Hapa Arusha kuna shida kubwa sana kwa upande wa watoto wa kiume hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa.
Vijana wa kiume hapa Arusha hawapendi kufanya kazi na kujiingizia kipato.
Vijana wa kiume wa Arusha wamekumbwa na Kampeni ya kuolewa na wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama mashangazi ila sasa wamevuka mipaka mpaka kwa bibi zao.
Vijana wa kiume wa Arusha wamejiingiza kwenye ulevi wa kupindukia, pombe halali na haramu kwa pamoja.
Vijana wa kiume wa Arusha kwa vitendo vya uharifu, wizi na utapeli wamekubuhu.
Vijana wa kiume wa Arusha wana kampeni maalum, wazazi wao wakifariki wanafurahi ili wauze mali (mirathi) wapate hela za starehe.
Vijana wa kiume wa Arusha hawataki kuoa.
Vijana wa kiume wa Arusha akipata demu anataka alishwe, alipiwe kodi, vocha na hela za bando, ni Marioo wa kutupwa.
Hii inanikumbusha kwanini DogoJanja alifanya vile.
Vijana wa kiume Arusha wamevuka mipaka, wanakodishwa kuwa mabaasha ili wawaingilie mashoga kwa kulipwa.
Serikali, taasisi za dini, taasisi za kiraia na watu mmoja mmoja wenye mapenzi mema tulivalie njuga hili jambo kama halijawa ugonjwa wa kuambukiza kwenda mikoa mingine.
Hapa Arusha hali ni mbaya mno. Wenyeji wameshazoea na wana ona ni kawaida tu. Au wameshakata tamaa na hawana cha kufanya.
Noma sana!Hiyo ipo hadi kwa wanafunzi wa chuo. vijana waarusha wana usela mavi sana nawajua nje ndani
hakipo cha kunidanganya.
Sio ndugu mtu wa kg na Arusha wap na wapiBasi ndugu zako
We unawashwa na makalio, hizo ni pigo za huko kwenu siyo ya Arusha, we una chuki na vijana wa Arusha. Kinachokusumbua akili ni kuwa vijana wa Arusha hawana muda na mtu ndio kinakusumbua
Kwani ndugu hawasambai?Sio ndugu mtu wa kg na Arusha wap na wapi
Wanasambaa lakini huko sinaKwani ndugu hawasambai?
Kuna mtu humu Jf au somewhere aliwahi kusema hili, alisema Arusha vijana mashoga ni wengi sana kuliko Dar na sehemu zingine.Watoto wa kiume wengi wa kiarusha pia ni Mashoga waliokubuhu.
Ningekuwa na meno kama Vijana ningetia timu hapoNyata hapa fyade mzee tunapiga mdudu ngaa. Liteni tu, lialteza bablai mambo ni byee
View attachment 3141759
Acha ujinga aisee,Arusha hamnaga hizo mbanga....kule nigaz wako bize na mishe zao na sio ujinga kama huo unaousema hapaa,Ndugu zangu Hapa Arusha kuna shida kubwa sana kwa upande wa watoto wa kiume hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa.
Vijana wa kiume hapa Arusha hawapendi kufanya kazi na kujiingizia kipato.
Vijana wa kiume wa Arusha wamekumbwa na Kampeni ya kuolewa na wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama mashangazi ila sasa wamevuka mipaka mpaka kwa bibi zao.
Vijana wa kiume wa Arusha wamejiingiza kwenye ulevi wa kupindukia, pombe halali na haramu kwa pamoja.
Vijana wa kiume wa Arusha kwa vitendo vya uharifu, wizi na utapeli wamekubuhu.
Vijana wa kiume wa Arusha wana kampeni maalum, wazazi wao wakifariki wanafurahi ili wauze mali (mirathi) wapate hela za starehe.
Vijana wa kiume wa Arusha hawataki kuoa.
Vijana wa kiume wa Arusha akipata demu anataka alishwe, alipiwe kodi, vocha na hela za bando, ni Marioo wa kutupwa.
Hii inanikumbusha kwanini DogoJanja alifanya vile.
Vijana wa kiume Arusha wamevuka mipaka, wanakodishwa kuwa mabaasha ili wawaingilie mashoga kwa kulipwa.
Serikali, taasisi za dini, taasisi za kiraia na watu mmoja mmoja wenye mapenzi mema tulivalie njuga hili jambo kama halijawa ugonjwa wa kuambukiza kwenda mikoa mingine.
Hapa Arusha hali ni mbaya mno. Wenyeji wameshazoea na wana ona ni kawaida tu. Au wameshakata tamaa na hawana cha kufanya.
Umesoma comment za wadau? Unaficha nini ambacho hakiko wazi?Acha ujinga aisee,Arusha hamnaga hizo mbanga....kule nigaz wako bize na mishe zao na sio ujinga kama huo unaousema hapaa,
Jarib kufikiria kabla hujasema man