Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Usikute mtu ndo macho yake yalivyo.

Wewe Tu na mapepe yako ukaona ushapendwa.

Anyway kama Una namba yake si uwe tu unamsalimia asubuhi na kumpa good night kila siku ...kwa wiki moja asipo react basi hakutaki au gay...
daah nmecheka mkuu umetisha mno
 
 
Huyo muoga hawezi kukuanza ataendelea kukushangaa tu naijua hio sitaution nilikuwa nayo miaka yangu ya ujanani๐Ÿ˜‚! Demu pisi naujasiri wa kumsmile na kumsalimia ila kuyasema ya moyoni siwezi hata nijikazeje. Naweza nikamchekesha all the way from skonga tu home with hillarious jokes n stories ila kusema nakupenda ilikuwa neno gumu kama pande la muhogo kupenye kooni.

Manz alicrush namie mpaka akanifata home Unique Flower sitamsahau Rosemary K. Mrema manz alikuwa ni mcute kama BMW M5 ujana jamani!

Leo hii ndio ningepata ile fursa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… would be a killshot
 
Hiyo situesheni kwa vijana wadogo ni ngumu sana, mdomo ukishakwama inakuwa ni kama mwamba hapa unawaza unaanzaje anzaje kupata hiyo sufuria๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya "kupendwa" na "kutamaniwa".

Mtu amekutazama unasema "amekupenda". Je, unajuaje kuwa amekupenda au amekutamani?
 
Ndio ashakutongoza hivyo ...wengine ndo huwa style zetu za kutongoza , ni Kama vile unakimbiza mwizi kimya kimya atapiga kelele mwenyewe Kama wewe ulivyokuja kupiga kelele huku na huwa inafanikiwa ...sasa kama nawe umempenda endelea kumsalimia tu one day atakuita muende sehemu ndo itakuwa imeisha hiyo , ila uwe mvumilivu maana inaweza chukua hata mwaka ...Kawaida yangu hata msichana awe amenivutia vipi tukipeana mawasiliano ntampigia au ntamtumia sms usiku huo tu Tena sio wa kumtongoza then simtafuti Tena , baada ya miezi kadhaa ananitafuta mwenyewe, Kuna ambao walinitafuta baada ya mwaka , so kipindi nasubilia we unitafute Kuna wengine tuliopena contact zaman wanakuwa wako online so kazi zinaendelea [emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji106]
 
Unique Flower huyo Mwana ni kit0..mbi balaa anakuektia tu akukule kimasihara ashaelewa ww ni lose ball anasubiri ujae akupelekee moto we si unaona alivokua anakuangalia wenzie walishtuana wakaambizana huyu sio mda ataliwa
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ snowhite umenichekesha mno aiseh
Ahahhaahahaahahahahahhahahahhahaha.
Sisi wengine acha tu Katiba mpya ije.
Kuna namna naona navozidi kuzeeka na bhangi zinazidi.
Mi sredi kama hizi si inatakiwa niwe na busara nashauri kuhusu Ukimwi, mimba zisizotarajiwa, mila na desturi za Kiafrika.
Kwenda motoni, mambo ya uasherati sio mazuri.
Ila ona nayoandika!
Mxxxxxxxxxiiie
 
Kweli katiba mpya ije tu.
Kuna vipengele vya kuweka.

Ibara ziongezeke,vifungu na tafsiri mpya za kisheria ziwe wazi.
Kuna namna hawa watu wawili wametuaffect.
 
Mimi niliandikiwa na huyo jamaa(alimpa binamu yangu anipe)nikaipokea kuitia kwenye koti Hata sijui funguka na sikujua nini kimeandikwa ndani๐Ÿ˜๐Ÿ˜ilikuja kudondoka bhana wakaidaka wanafunzi๐Ÿ˜๐Ÿ˜naomba niishie hapa kwakweli
Imagine yangu ilikutwa kwenye daftari la mwalimu wa Bookeeping.
Na nilikuwa namkataa, na akamjua na aliyeandika.
Na somo lake nilikuwa naliweza ila nikagoma kulisoma.
Hehehhehehhehehehhee
 
Bila shaka hutegemea sura na sura, kama sura yako ngumu usijaribu kabisa [emoji23][emoji23] ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mi yangu ya kawaida mkuu, ila nakumbuka chuo madem tukiwa discussion walikua wanasema nisiwaangalie nna macho makali.
Tukigonganisha macho manzi anasema vishu una macho makali wewe. Kuna uhusiano na hilo la kuangalia kimahaba wakuu?? Mana mi nlikua nawaangalia kawaida tu ..
 
Mtongoze wewe
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ