Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
-
- #41
Ookey.
So utamwangalia kimahaba au?
Tukubaliane kabisa hapa hapa!
Sio utuletee thread ya alikuja nikaishia kumuuliza mji mkuu wa Somalia.
Jamani ila nikweli nilichelewa kuonyesha mtu nia mwingine akaoa mtu mwingine.Endelea na hiyonhiyo code ya aibu.
Ila hakikisha hiyo aibu anajua unamwonea yeye.
Sio watu.
Usiniambie uko na shep na sura imekaa poa ee...safiSio macho yake hadi watu wakakonyezana yaani amekaa hapo ananiangalia hadi akiitwa na mtu hasikii anatabasamu tu kwangu as if tuko wenyewe katoka kabisa eneo lakazi .
Niliona aibu kapigwa na butwaa hivyoo.
Mimi sio mdogo nimepita 25 tayari nisaidie natakiwa kufanya niniUmri wako tafwazali..unazidi kuniudhi🤪🤪
SafiEndelea na hiyonhiyo code ya aibu.
Ila hakikisha hiyo aibu anajua unamwonea yeye.
Sio watu.
Mie nipo wastani kiumbo watu wengi wanasema na shep namba 6Usiniambie uko na shep na sura imekaa poa ee...safi
Wera weraaaaaaaaaaaaaaaahhhhhh🤸♀️🤸♀️🤸♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️Hii naive and meekly thing hii a total turn on.
Akomae nayo.
Tuandae kijora
Na hii chelewa anyakuliwe na mweweJamani ila nikweli nilichelewa kuonyesha mtu nia mwingine akaoa mtu mwingine.
Hebu mfundishe ujasiriUnaogopa nini na wewe Hebu hukoooo
😂😂🤣Na hii chelewa anyakuliwe na mwewe
Wacha bhanaMie nipo wastani kiumbo watu wengi wanasema na shep namba 6
Hivi unafikiri ujasiri unafundishwa basii...woiHebu mfundishe ujasiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Kwani hapa umeandika nini hata sijaelewa.
Hakuna mtu ambae hana mpenzi we nae...we jichomeke Chomeke tu huko mshindi atatangazwa kanisani au msikitin.
Unaniudhi wewe
He wasn't meant for yu.Jamani ila nikweli nilichelewa kuonyesha mtu nia mwingine akaoa mtu mwingine.
Yes hapo ndio mimi nataka aseme mwenyewe siwezi fosi atanidharau ataniona waajabuKwamba hajaoa na wala haujaolewa.,
Tulia bibie kama kakupenda atakwambia tu.
We kaa na 6 yako wenzio wana shape no. 17 na wanajiamini hatariMie nipo wastani kiumbo watu wengi wanasema na shep namba 6