Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Ookey.
So utamwangalia kimahaba au?
Tukubaliane kabisa hapa hapa!
Sio utuletee thread ya alikuja nikaishia kumuuliza mji mkuu wa Somalia.
Endelea na hiyonhiyo code ya aibu.
Ila hakikisha hiyo aibu anajua unamwonea yeye.
Sio watu.
Jamani ila nikweli nilichelewa kuonyesha mtu nia mwingine akaoa mtu mwingine.
 
Sio macho yake hadi watu wakakonyezana yaani amekaa hapo ananiangalia hadi akiitwa na mtu hasikii anatabasamu tu kwangu as if tuko wenyewe katoka kabisa eneo lakazi .
Niliona aibu kapigwa na butwaa hivyoo.
Usiniambie uko na shep na sura imekaa poa ee...safi
 
Mie nipo wastani kiumbo watu wengi wanasema na shep namba 6
Wacha bhana
7DCAA4AE-186C-46B9-BADF-1FE4F57EEC6E.jpeg
 
Kwamba hajaoa na wala haujaolewa.,
Tulia bibie kama kakupenda atakwambia tu.
 
Kwani hapa umeandika nini hata sijaelewa.

Hakuna mtu ambae hana mpenzi we nae...we jichomeke Chomeke tu huko mshindi atatangazwa kanisani au msikitin.

Unaniudhi wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Back
Top Bottom