Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

Fanya hivi πŸ€£πŸ‘‡

Kamata kiuno, kamata bega
Kamata kichwa ka ndoo unabeba
Kamata kimini chalegalega
Wooh! Maana chashuka chini unamtega
Kamata, kamata, kamatika, kamata
Kamata, kamata, mpaka chini, kamata
Kamata, kamata, Kamata, kamata
 
Maza anatengeneza pasi ya upendo,,, bila shaka watakuwa wachaga hawa ndio michezo yao hii πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mtongoze jitongozeshe
 
Mm sjambo hofu kwako uliyepo mbali na upeo wa macho yangu, nimepatia au ni macho yako wewe, nimekumbu enzi zile za kuandika barua una muagiza rafiki yake na mrembo unae mhitaji kishule shule miaka hiyo tena shule ya msingi.
Mim niko poa kabisa.

Hivi kuna ambae hajawahi kwenye hiyo kituπŸ˜€πŸ˜€
 
Mwite chumbani ale tunda kimasihara!!
 
Kwamba atakuwa anamfaa jokajeusi huyu nakataaa! Wahuni lazma walishakata utepe kitambo mapoz ya kuku haya kujifanya anamkimbia jogoo kumbe anataka
Umeona ee..mwanamke kuzuga zugq hiyo ni kawaida sheikh 😁😁
 
Hata kwenye biblia iliandikwa.

Wanawake wazee wafundisheni wanawake kijana.
Sasa hizi mbwinu unafkr tutastaafu nazo?
Tuziweke Pssf, sio kweli.

Lazima tuwarithishe .
Ndo urithi pekee tuliojaliwa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mnamfundisha mtoto ujangili
 
Heheheheh dogo huyo i wish i kudu be IGP πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… angerimia meno! Yani nimkawize njiwa ambae kinda enzi zangu ingekuwa imebaki story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…