Halafu ukiangalia kuna wengine tunafanya zaidi ya hapo na hatuoni mbele kabisa😬Unajua hizi hearsay za kusimuliwa tu, hazina uthibitisho.
Hakuna anayeleta experience yake mwenyewe ya hizi biashara.
Kila mtu analeta stori za kuambiwa na kusimuliwa tu.
Mara, Kuna jamaa anauza tikiti tu, katoboa, kuna jamaa anauza ice cream tu, kuna jamaa anatembeza nguo tu.
Sasa hizi ni stori za kusimuliwa tu, inabidi mtu ambaye ametajirika na mwenye experience ya biashara hizi ndio aeleze mchanganuo mzima ulivyoenda.
Maana mtu aki kuhadithia tu, anauza ice cream au tikiti, utahakikisha vipi kwamba ni kweli na hana biashara nyingine inayo msapoti?
Hela ya kula sikatai ila kushusha mjengo mkali.Hawezi kupata mamilioni lakini hakosi hela ya kula. Levels za maisha hazikwepeki
Ndio kinachofanyika unafikiri ni ghafla tu! Watu wanasota miaka mitano kumi..Hela ya kula sikatai ila kushusha mjengo mkali.
Labda auze hayo matunda kwa kipindi kirefu huku akifanya savings za hatari.
Labda upate hela ya kula na kusogeza siku.Yes, Hapa kkoo kuna watu wanapata hayo matunda, sahani buku wanawekwa kwenye vifungashio vya take away na vijiti vya meno.
1. Uchafu wao wanajaza mapipa matatu ama zaidi, siku wasipopita watu wa takataka mtaa haupitiki.
2. Matunda wanauza sahani kwa mamia kama sio maelfu, MTU kufunga faida laki kadhaa kwa siku Jambo la kawaida kabisa.
3. Nenda mwenyewe Kariakoo pita Mitaa kama Swahili na mchikichi ama Swahili na Agrey wamejaa kibao kaa kama nusu saa hesabu wameuza plate ngapi, then Rudi jukwaani ubishe tena.
Mwenye mshahara wa laki 8 ana bima ya afya na NSSF,Makuli kushusha gunia la kiaz buku semi ina gunia 300 wanakuwa wanne kwa siku wanapiga had semitrael 2 jion kila mmoja anarud na ka 70 mtaji nguvu vp wewe wa mshahara laki 8 unaeza mfikia sema wanamatumiz makubwa hasa ya starehe
Mungu siyupo mwambie akupush 😁Halafu ukiangalia kuna wengine tunafanya zaidi ya hapo na hatuoni mbele kabisa😬
Huwa wanakufa upesi, na wengi hawana maisha hasa Hawa wa mbeya wanaobeba magunia ya mipunga, pia Hela zao nyingi zinaishia kwenye kulaMwenye mshahara wa laki 8 ana bima ya afya na NSSF,
Mtu anayeshusha gunia 70 za kilo mia mia kwa siku ana tofauti gani na wale manamba au watumwa wa wakoloni? Anaishi miaka mingapi huyu?
Labda wapiga debe. Hao wengine hela ya mahitaji ya muhimu wanapataWamachinga watembezi bidhaa barabarani, bar n.k.
Wapiga debe,
Wauza ice cream,
Wabeba mizigo(makuli),
Wachuuzi stendi,
Sijawahi kuelewa mtu anayefanya hizi kazi anawezaje kukidhi mahitaji yake ya chakula, mavazi, makazi na kuhudumia familia bila kukata tamaa ya maisha.
Ni kazi za kusikitisha sana.
Mkuu, wapiga debe wanapata pesa, tena hutaamini ila mtu kufunga 30k-50k per day ni kawaida.Labda wapiga debe. Hao wengine hela ya mahitaji ya muhimu wanapata
Hawa watu ukikutana nao kama kuna siri unazijua weka super glue mdomoni kwako wengi wao siyo hao kama unavyowaona kwa jicho la umachinga.Wamachinga watembezi bidhaa barabarani
Hawa wa stendi wanaorushiwa 200 na kondakta au unaamnisha wale madalali wa kukatisha tiketi stend za mabasi ya mabasi ya mikoani.Mkuu, wapiga debe wanapata pesa, tena hutaamini ila mtu kufunga 30k-50k per day ni kawaida.
Nimemwambia, nipo naye hapa ananipush mdogoanguMungu siyupo mwambie akupush 😁
Mdogo wako ?? A girl ??Nimemwambia, nipo naye hapa ananipush mdogoangu
Ninaowaona hasa hapo Mbezi stand ndogo wapo safi kabisa, tena baadhi yao ni wale makonda na madereva ambao hawana magari kwa kipindi hicho. Kila gari ni 1000.Hawa wa stendi wanaorushiwa 200 na kondakta au unaamnisha wale madalali wa kukatisha tiketi stend za mabasi ya mabasi ya mikoani.
Hawa wa kurushiwa 200 na kondakta wengi wao huwa nawaona wamechoka. 30k per day hali zao za kiafya na uchumi zingeakisi hicho kipato
Mdogo wako ?? A girl ??Nimemwambia, nipo naye hapa ananipush mdogoangu
Toka hapa mpuuzi wa mbogamboga.Hawa watu ukikutana nao kama kuna siri unazijua weka super glue mdomoni kwako wengi wao siyo hao kama unavyowaona kwa jicho la umachinga.
Pia wapiga debe wengi ni vitengo au mamluki chunguza kwa makini utakuja kunishukuru