Wala sihisi wanapoteza muda na kweli wanafanya kazi kweli kweli kuliko mimi na labda hata zaidi ya Punda vile, ambacho sielewi ni jinsi gani wanakidhi mahitaji yao na hizo kazi zao.Sasa utaelewa vipi kazi ambayo sio kazi yako na hujawahi ifanya?
Hata wewe hapo kuna watu hawaielewi kazi yako mkuu, wanahisi unapoteza muda tuu! π
Ila hawakwambii, wanauchuna tuu.
Eenh nitafutie kakijana kadogodogo basiπ€Mshangazi au sio ?? π€Έπ₯°π₯°
Usonge ugali kilo wa nn? Ugali kwa mama ntilie 1200 tu maji 100 ya baridi. Yani 13000 unakula siku 10 mlo wa usiku tuHutembei uswahilini? Kuna sehemu nilikuta vyumba nikabaki nashangaa. 1. Vyumba vidogo kama vyoo, hata kitanda hakikai. Unakuta jamaa kagawa nyumba yake vyumba 20 na kila kimoja kina kijana analala pale. 2. Msosi kuna mama ntilie wa bei rahisi mno. Au wanachanga wananunua mafungu la utumbo wa kuku uliokaangwa, na unga kilo moja, wanakata na kachumbali za nyanya za rahisi siku inaenda.
Sasa we una ukubwa gani? Hakuna kitu cha kukunyima kutoka kwangu!Kumbe mdogo wako ulikuwa una maanisha ni Mimi !? You can't be serious!! ππ
Wataka kuninyima Nini !?
Endelea kuishi kwenye denial, sio Tu mijengo kuna MTU namfahamu personal anauza spices sokoni na zimemfanya Ajenge Ghorofa.Labda upate hela ya kula na kusogeza siku.
Ila hela ya kushusha mjengo mkali, labda ufanye hiyo biashara kwa kipindi kirefu sana, ukifanya savings za hatari kabisa.
Acha stori za vijiwen mjomba, 40 feet unaijua vizur kushushwa na watu wawili!?Makuli kushusha gunia la kiaz buku semi ina gunia 300 wanakuwa wanne kwa siku wanapiga had semitrael 2 jion kila mmoja anarud na ka 70 mtaji nguvu vp wewe wa mshahara laki 8 unaeza mfikia sema wanamatumiz makubwa hasa ya starehe
Huyo mtu alikuthibitishia kwamba spices za sokoni ndio zilimuwezesha kujenga hilo ghorofa?Endelea kuishi kwenye denial, sio Tu mijengo kuna MTU namfahamu personal anauza spices sokoni na zimemfanya Ajenge Ghorofa.
Biashara haina fixed income na mjasiriamali hachagui biashara.
Sasa muuza viungo sokoni si mtu anayeweza kulipia na kizimba kabisa, halafu spices ni bidhaa za thamani kubwa tu kama na ni rahisi kuuza za jumla hadi mikoani.Endelea kuishi kwenye denial, sio Tu mijengo kuna MTU namfahamu personal anauza spices sokoni na zimemfanya Ajenge Ghorofa.
Biashara haina fixed income na mjasiriamali hachagui biashara.
Moja kati ya kazi zenye kuzeesha na kudhoofisha mwili ni hizo kazi, wale wengi wao huwa ni wageni wa mji, wakishaujua mji huwa wanajiunga na wasajili line za simuKwa watembezi wa bidhaa, kuna pesa hapo tena ya maana kabisa, inategemea tu na bidhaa mfano kuna yale makampuni yanayotafuta ma ajenti wa kutembeza bidhaa maeneo mbalimbali unapewa na bei ya bidhaa husika hapo ukifika huko unaweza kuuza bidhaa ya 5k hata kwa 12k just inategemea na nguvu yako ya ushawishi na bidhaa husika. Ile unaweza kupata pesa fresh tu kabla ya mwisho wa mwezi
Hii ndio tafsiri nzuri zaidi kazi za 'survival", kwa hakika hizi kazi ni kwa ajili ku survive tu.Wanaishi Kwa mahesabu makali Sana zaidi ya waliosoma uchumi halafu kingine Wana side hustle nyingine za kupata pesa (sio wote), wale wa Bar wengi ni Malaya halafu wanapata tips Sana, wapiga Debe wengine ni wezi, machinga hawa wako baadhi wanauza Sana mitaani na kukopesha juu, waokota makopo wengine ni wazee wa dili...
Kusema kweli wengi wanaofanya kazi za Kupiga Debe, wadada wa Bar, kuokota chupa wengi wao wamekata tamaa ya maisha na wachache Sana ndo Wana malengo, wamachinga hao wengi Wana akili timamu.
HIzo kazi Kwa nature Yake Hapa TZ ni kazi za SURVIVAL MODE, mtu akiwa kwenye Hali hii ni hatari Sana.
Hata hao wa matunda ni same, unafkiri hawana meza? We pitia Mitaa niliotaja hapo juu then njoo lete feedback uuzaji waoSasa muuza viungo sokoni si mtu anayeweza kulipia na kizimba kabisa, halafu spices ni bidhaa za thamani kubwa tu kama na ni rahisi kuuza za jumla hadi mikoani.
Hiyo 30k hadi 50k kwa siku ni mauzo au faida?mtoa Uzi umenifurahisha, mim ni machinga natembeza nguo za mtumba za wadada nimekosa sana Kwa siku 30k hadi 50k siku za weeknd na nakaa room ya 70k siyo Dsm nipo mkoa vyet vyangu nimeviweka uvunguni wa kitanda sijui kama havijaliwa na mende
lakin watu tukipita mtaani wananichukulia poa silipi Kodi TRA wala Kodi ya frame ofisi miguu yangu
Yap nina uhakika 99% ni MTU wa karibu na watoto wake ni best friends wangu. Hata hapa kkoo ukitaka naweza kukupoint wapi ukaangalie spices utokaje wake. Kuna sehemu kkoo watu wanapanga foleni sokoni almost all the timeHuyo mtu alikuthibitishia kwamba spices za sokoni ndio zilimuwezesha kujenga hilo ghorofa?
Alikupa mchanganuo wa mauzo wa hizo spices na mchanganuo wa ujenzi wa hilo ghorofa?
Ukahakikisha hiyo michanganuo miwili?
Wala sihisi wanapoteza muda na kweli wanafanya kazi kweli kweli kuliko mimi na labda hata zaidi ya Punda vile, ambacho sielewi ni jinsi gani wanakidhi mahitaji yao na hizo kazi zao.
Faida mkuuHiyo 30k hadi 50k kwa siku ni mauzo au faida?