Kuna kiashiria chochote cha tabia kwa mtoto anayenyonya kidole?

Kuna kiashiria chochote cha tabia kwa mtoto anayenyonya kidole?

Kama ni wa kike haina shida. Ila kama ni mtoto wa kiume ana nyonya kidole hakikisha kama mzazi au mlezi huyo mtoto asinyonye hicho kidole ikiwezekana paka pilipili akihamia kingine hivyo hivyo mtoto wa kiume hadekezwi hatakidogo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ahsante, mtoto ni wa kike kwa bahati nzuri!!
 
Hili jambo kuna muda nahisi kama ni ugonjwa, Bro wangu Ana miaka zaidi ya 40 lkn kuna muda anajisahau ananyonya kidole hasa akiwa peke yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bro wangu aliacha akiwa darasa la 6.
Kuna dogo mwingine alikua ananyonya mpaka kidole kikilikua cheupe kama karatasi.

Ila nae pia alivyokuakua akaacha.
Mimi dogo bado ananyonya mpaka leo 7 years, aliwahi kuumia akapata kidonda kwenye kidole anachonyonya akaendelea kunyonya hivyo hivyo mpaka kidonda kikapona.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom