Nitajitahidi.....ππππππππ Ndo umkomalie mrembo huyo lasivyo ataharibu meno
ππMwanafunzi mmoja wa kidato cha sita, alikuwa ananyonya kidole. Mpaka ukubwani eti.
π³π³π³π³Na wakianza kuota meno, Ronaldinho aingii ndani...
Ahsante, mtoto ni wa kike kwa bahati nzuri!!Kama ni wa kike haina shida. Ila kama ni mtoto wa kiume ana nyonya kidole hakikisha kama mzazi au mlezi huyo mtoto asinyonye hicho kidole ikiwezekana paka pilipili akihamia kingine hivyo hivyo mtoto wa kiume hadekezwi hatakidogo
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nikuongezee mwingine basilisa wa kipindi cha ujenzi EATVNitajitahidi.....πππππ
Wewe!!! π€£π€£π€£π€£π€£π€£Nikuongezee mwingine basilisa wa kipindi cha ujenzi EATV
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili jambo kuna muda nahisi kama ni ugonjwa, Bro wangu Ana miaka zaidi ya 40 lkn kuna muda anajisahau ananyonya kidole hasa akiwa peke yake.
Mimi dogo bado ananyonya mpaka leo 7 years, aliwahi kuumia akapata kidonda kwenye kidole anachonyonya akaendelea kunyonya hivyo hivyo mpaka kidonda kikapona.Bro wangu aliacha akiwa darasa la 6.
Kuna dogo mwingine alikua ananyonya mpaka kidole kikilikua cheupe kama karatasi.
Ila nae pia alivyokuakua akaacha.