Kuna kijimstari chembamba sana kinachomtenganisha mwanamke anayevaa shanga kiunoni na tabia za umalaya

Kuna kijimstari chembamba sana kinachomtenganisha mwanamke anayevaa shanga kiunoni na tabia za umalaya

Stereo type

Ni kitu mbaya sana. Mtu akivaa hivi basi huyu ni malaya, mara akiwa hivi huyu haendi mbinguni. Wajombaa, mtu kama ni mshenzi ni mshenzi tu

Kuna watu tunaishi nao kwenye jamii zetu, ukimuona ni mstaarabu mno ila unakuta ni mfiraji/ mfirwaji, hata ukiambiwa matendo yake wewe mwenyewe unamtetea. Hizi ni sirika za kimasikini, shanga, vikuku, tattoo ni urembo tu kutegemea na mhusika anavyopenda.
 
Mleta mada na wote wanaomsapoti wana upeo finyu.
 
Wakuu
Kwa kweli kwa survey niliyofanya,kati ya wanawake 10 wanaovaa haya mashanga kiunoni basi kati yao 8 ni malaya wa waziwazi au wa kificho.
Nimefanya survey kwenye mikoa kumi ya Dar,Mwanza,Arusha,Kilimanjaro,Tanga,Morogoro,Dodoma,Tabora,Mbeya na Mtwara.
Wakuu kuna uhusiano wowote wa mwanamke kuvaa shanga na umalaya?
 
Back
Top Bottom