Kuna kijimstari chembamba sana kinachomtenganisha mwanamke anayevaa shanga kiunoni na tabia za umalaya

Kuna kijimstari chembamba sana kinachomtenganisha mwanamke anayevaa shanga kiunoni na tabia za umalaya

VIKUKU + SHANGA = UDANGAJI

Hii ndio ile chemical equation ya mashangingi wa mjini
Inategemea na mazingira mkuu, madem wanaotoka Tanga, kwao kuvaa shanga niufahari na wanafundishwa lazima wavae Sasa sijui inahusiana vipi na umalaya.

Kuna mshikaji wangu mmoja yeye ni Ngosha, alivyoenda Tanga alipenda Sana madem wanaovaa shanga, ikabid anunune za size zotafuti, demu akienda Ghetto kwake bila shanga anamvisha zile alizonunua baada ya game anamwambia azirudishe kabatini akiwa na lengo akija mwingine atavaa Tena. Demu bila kuvaa shanga yeye hapigi.
 
ONGEZEA.

Wanawake waliochora Tattoo, wanaovaa nguo zenye Print za wanyama(chuichui), Waliotoboa Pua na Ulimi.

HAKIKA ukiona Mwanamke wa hivi, hakikisha unatumia Condom au kaa nae mbali.

Be a Man.
Heeee kumbe Hadi kuvaa animal prints ya chuichui ni Umalaya?nilidhani nimesikia yote kumbe Mimi bado sana mgeni
 
Tanzania tuna makabila zaidi ya 120,robo tatu ya hayo makabila shanga zinavaliwa kama urembo Kwa wanawake,watoto,hata wanaume imekuwaje tena ni Umalaya kuzivaa?
 
Kuvaa shanga ni maamuzi ya mtu sema watu wa pwani wengi upendelea kuvaa shanga kwa kipindi hicho cha nyuma, ila kwa sasa imekuwa fasheni wengi upendelea kuvaa shanga kwa sababu mbalimbali
 
Ahsante kwa kunisema kijana nisiye na pesa nilale sasa.😥🙌



May the sun rise so we could try again nipate pesa nimpelekee amehlo🤣
Sio tu mpaka jua liwake ndio utafute pesa,pesa inatafutwa hata balamwezi ikiwa gizani
 
Back
Top Bottom