Kuna kijimstari chembamba sana kinachomtenganisha mwanamke anayevaa shanga kiunoni na tabia za umalaya

Hivi huwa zinasaidia nini hizo vitu, ni urembo au kitu gani?

Kama ni urembo bora wasiwe wanavaa mtu anakuwa kama mganga wa kienyeji.
Wengine kwenye makabila yao huko Wanavaa ni Mila zao...
Ukiacha wale wanaovaa kimalayamalaya!
Kuna wanaovaa km urembo!
Kuna wanaovaa sbb mwanaume wake anataka(Nina rfk angu) mwanaume wake mtu wa singida ye mhaya ,alinunuliwa na mwanaume wake ndo alikuwa anataka,na anajua kuzitumia.
 
Kujua kuzitumia vp tena mkuu
 
Back
Top Bottom