Kuna kijimstari chembamba sana kinachomtenganisha mwanamke anayevaa shanga kiunoni na tabia za umalaya

ONGEZEA.

Wanawake waliochora Tattoo, wanaovaa nguo zenye Print za wanyama(chuichui), Waliotoboa Pua na Ulimi.

HAKIKA ukiona Mwanamke wa hivi, hakikisha unatumia Condom au kaa nae mbali.

Be a Man.
Condom itumike popote kama sio mke wako au mume wako full stop kosa moja tu unakula dawa maisha yako yote ingawa siku hizi umedhibitiwa haudhalilishi kama zamani
 
Aisee!! Matumizi yake ni yapi? lete nondo dada!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…