Kwa hiyo Hela zinatafutwa Kwa kulima tu?Mr Zulu?Kuna viwanda vya Rasta,yeboyebo,plastic vinakesha si ukaombe vibarua huko?Kwahiyo nilime usiku huu miss joannah?๐
Kiddin'?right?...
Wow..ni wapi huko?Kwa hiyo Hela zinatafutwa Kwa kulima tu?Mr Zulu?Kuna viwanda vya Rasta,yeboyebo,plastic vinakesha si ukaombe vibarua huko?
Njoo Dslam wewe nikuonyeshe machimbo ya kupiga pesa mida ya wangaWow..ni wapi huko?
Kulima Ndio kazi yangu kubwa huku kijijininga
Jan 2024 nitaingia mjini Dar es salaam,nitakutafuta unipokee mshamba mimi๐Njoo Dslam wewe nikuonyeshe machimbo ya kupiga pesa mida ya wa
mrembo wewe una vaa shanga au huvaiDuh aiseee
mrembo wewe una vaa shanga au huvai
ngoja siku yake spesho ipite kwanzaSi ndio ๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐Ole wako utoe hiyo cheni kiunoni, talaka inaji-download taratibu kusubiria tu kitachokukuta [emoji1]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
MakubwaONGEZEA.
Wanawake waliochora Tattoo, wanaovaa nguo zenye Print za wanyama(chuichui), Waliotoboa Pua na Ulimi.
HAKIKA ukiona Mwanamke wa hivi, hakikisha unatumia Condom au kaa nae mbali.
Be a Man.
Wanaume hapa watuambie.maana hazitumuwi na mvaaji,Bali mwanaumeKujua kuzitumia vp tena mkuu
Km anakupenda kweli atakusikiliza na atavaa ,mnunulie cheniSana aise sema hawa masister du wetu sijui unaanzaje kumwambia avae, hawaelewi tu kama inaleta stimu kali sana
Sona comment ya juu yako uanze kuelewa matumizi #68Mimi nilikua najua ni urembo tu kuna zina matumizi yake. Tupe somo mkuu
Mi mwenyewe nashangaaWamasai wanavaa sana shanga lakini sijawahi kuona umalaya wao
Soma comment za juu hukohivyo vikuku, shanga vinatumikaje
elezea step by step
Duh๐ณ๐คญInategemea na mazingira mkuu, madem wanaotoka Tanga, kwao kuvaa shanga niufahari na wanafundishwa lazima wavae Sasa sijui inahusiana vipi na umalaya.
Kuna mshikaji wangu mmoja yeye ni Ngosha, alivyoenda Tanga alipenda Sana madem wanaovaa shanga, ikabid anunune za size zotafuti, demu akienda Ghetto kwake bila shanga anamvisha zile alizonunua baada ya game anamwambia azirudishe kabatini akiwa na lengo akija mwingine atavaa Tena. Demu bila kuvaa shanga yeye hapigi.