Kuna kikundi kinapinga Rais Samia kuongea na upinzani

Mama ana endesha SCANIA lenye gia tano. Gia namba moja inaitwa Financial Approach, Gia namba mbili inaitwa Political Approach, Gia namba tatu inaitwa Diplomatic Approach, Gia namba nne inaitwa Religious Approach na Gia namba tano inaitwa Miltary Approach (Police, Miltary & Court). Gia zote hizi ziko kwenye kirungu kimoja kinachoitwa Urais. Gia zote hizi zinaweza kulipeleka roli mbele, isipokuwa gia moja wapo katika hizo tano. Ni maamuzi yake kikatiba kutumia any of those, hakuna mtu wala kikundi cha kumpangia. Uamuzi ni wake. Sie tu tumtakie kila la kheri.
 
My few cents
1. Lissu is playing you guys, mwenye source za intelligence hawezi kamwe kusema haya, anajua mnafuata upepo
2. Hakuna wapinzani wenye critical mass ya kufanya fujo, labda wafanye fujo na wenza wao majumbani - they lost their influence a while ago
3. Hakuna utekaji tangu mama aingie madarakani, msijaribu kunajisi enzi ya mama, pambaneni na akina halima mdee walioona mbali

chadomo died in august 2015… rip (miaka sita imepita tangu kifo chao)

baba ndubwi kabaki kula Pesa za sponsor tu
 
Ulijuaje kama ulinzi wa BM na Jk ulikuwa wa chini? Una umri gani wee. Ulinzi wa Marais upangwa na Rais au ni Usalama wa taifa? Mimi nijuavyo ni TISS ndio upanga ulinzi. Na kutokana na kasma waliyopewa na bunge. Matishio. Kwa mfano wewe unayeulizia ulinzi huo ni kwanini unaulizia. Lazima wawe makini na wewe unaulizia
 

Vitisho vya kitoto havikubebi kwenye hoja hii dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…