Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha uongo wewe!
.
Kuna siku ukafananisha ulinzi wa Samia kwamba hauna mabunduki kama ule wa dhalimu wako, mimi nikawa nakucheka tu ulivyo hujui kwamba ulinzi hajipangii rais! Na Samia alipoanza ziara za mikoani mimi na Nyani Ngabu tukakuonesha picha za mabunduki!
Siku zote ukawa unasema huyu mama anamjua Mungu kwa hiyo siyo dhalimu kama yule dhalimu wako unaemsemaga,
Sasa hivi eti unajifanya kusema anaiga!
Kina Polepole saa hii wanajilia tu mihela ya ubunge, kipindi cha chanel ten ni kitu gani?
Nimecheka kwa nguvu kinoma. Mkapa na JK walikuwa marais, wote hao hatukuona ulinzi wa hivyo. Huyu mama alipoanza hakutaka ulinzi wa hivyo, ila baada ya muda lile genge lililokuwa linapiga kupitia ulinzi wa vitisho, Lakibidi limjengee huyo mama hofu na kumtaka awe na ulinzi wa kufuru. Lengo likiwa ni kuendelea kula kodi za Mabwege, na hasa hasa ni kuficha aibu ya dhalimu kuwa alikuwa na kiburi cha madaraka, na matumizi mabaya ya fedha za umma. Kama genge la dhalimu ndio limebaki washauri wake, unategemea wataacha kutumia mbinu ile ile ili wapige hela za wajinga?
Hakuna mwenye muda wa kuhatarisha maisha yake mpaka ahitaji ulinzi wa hivyo, ila hilo kundi la wapigaji linatengeneza mazingira ya upigaji, na kufunika matumizi ya hovyo ya yule dhalimu.