NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Ahaaa Lisu muongo aisee,yani Rais atake kuongea na mtu alafu Ikulu wampotezee,kuna wakati huyu jamaa awe anakaa kimya anazidi kushuka vyeo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unayajua majukumu ya TISS kikatiba?Ni kweli!!mama anaendeshwa na TISS kwa maslahi ya wachache!!!
Acha kudanganya...Kuna mabodigadi wangapi wa mwendakuzimu waliokufa unaowajua!!??
Mimi najua watatu.
Wewe unawajua mabodigadi wake wote!??
🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana mkuu! Shida ni kwamba ulimdemkia mapema mno,!
Sasa ni hivi, mama siyo dhalimu anatupeleka vizuri sana! Mataga na sukuma gang wanakomolewa, sasa tunapumua baada ya dhalimu wetu kufariki.
Bashiru na Polepole wanakiona cha mtema kuni
Kila lenye mwanzo halikosi Kuwa na mwisho. Mwisho wao umekaribia.Ni kweli kabisa, wapo wahafidhina ndani ya chama tawala ambao wana sauti kubwa ndani ya chama, serikali na vyombo vya ulinzi na usalama hapa nchini. Wanatambua fika CCM ilipoteza mvuto na ushawishi wake kwa umma toka mwaka 2010.
Kwa hiyo wanatambua fika ya kwamba ili kuweza kupambana na upinzani, njia pekee iliyobakia kwao ni kwa kupitia tafu wabayoipata katika vyombo vya dola. CCM iliyokuwa na hoja za kiushindani dhidi ya upinzani ilikuwa mwisho wake ni katika nyakati za utawala wa hayati wa hayati Mkapa.
Ulimuona wewe na nani?Alisema ana taarifa za uhakika bodyguard wa magufuli kafariki ila tukamuona, lissu muongo sana
Huyo kichwani ni mtupu ashukuru kifo cha meko,hana uwezo zaidi ya kurembua n kushona suti tuNimemsikiliza Lissu kwenye mahojiano akasema ikulu inamwambia watampigia simu halafu ikifika wakati kuna njama zinafanyika kuhakikisha Mama anashidwa kuongea naye.
Tujue kuwa kuna wafaidika wakubwa hata ndani ya usalama mfano mitambo ya kudukuwa simu nani katoa budget! Watekaji nani anawalipa, pesa za kununua wapinzani nani anatoa haya ni mabilioni ambayo wanaogopa kuyakosa.
Rais Samia asipokuwa makini hawa jamaa watahakikisha kuna fujo ili waendelee na biashara zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha uongo wewe!Sina popote nilipochemka na mama wa kambo. Maana sina utaratibu wa kumkubali mwanaccm. Yule muovu aliyeko motoni alikuwa dhalimu kweli kweli. Huyu mama wa kambo yeye anaiga tu tembo kunya. Hao akina Polepole na Bashiru sio zote za kijinga za enzi za dhalimu zimeisha. Mfano Polepole alikuwa na kipindi cha channel 10 cha kusaka kick za kijinga, je kimeenda wapi baada ya dhalimu kuelekea motoni?
Unaonaje kina pole pole wanavyokiona cha moto?Huyo kichwani ni mtupu ashukuru kifo cha meko,hana uwezo zaidi ya kurembua n kushona suti tu
Lissu hana busara kabisa na amekuwa IRRELEVANT. Kwa nini mawasiliano yake na IKULU asiyafanye Personal and confidential??Nimemsikiliza Lissu kwenye mahojiano akasema ikulu inamwambia watampigia simu halafu ikifika wakati kuna njama zinafanyika kuhakikisha Mama anashidwa kuongea naye.
Tujue kuwa kuna wafaidika wakubwa hata ndani ya usalama mfano mitambo ya kudukuwa simu nani katoa budget! Watekaji nani anawalipa, pesa za kununua wapinzani nani anatoa haya ni mabilioni ambayo wanaogopa kuyakosa.
Rais Samia asipokuwa makini hawa jamaa watahakikisha kuna fujo ili waendelee na biashara zao
Hao wanakula hela za ubunge bila kutumia nguvu,bigtym ameshafeli ni kurembua tuUnaonaje kina pole pole wanavyokiona cha moto?
Kama wewe ulivyomuamini yule chizi aliyefariki na sasa unamuamini tena waziri gwajima kwenye covid 19Unamuamini huyo Lissu?
That is sad.Inqkuwaje tiss wanaweza kumpa makavu amiri geshi mkuu hadi anagwaya na kulamba tapishi lake? Ina maqnq hajui system kucheza nayo kila akiqmbiwa yeye hawezi ku question na kuamua tokana na intel ndani ya intel ?
Kama hicho kikundi kweli kipo basi kinathibitisha udhaifu wa Samia, kwanini kwa mamlaka aliyonayo anashindwa kikushughulikia?
Uko sahihi 100%. Mwisho wa siku lawama hazitaenda kwa hicho kikundi, zitenda kwake.Kama hicho kikundi kweli kipo basi kinathibitisha udhaifu wa Samia, kwanini kwa mamlaka aliyonayo anashindwa kikushughulikia?
Vipi, mbona unaanza kuweweseka?Kama wewe ulivyomuamini yule chizi aliyefariki na sasa unamuamini tena waziri gwajima kwenye covid 19
Ahsante kwa jibu sahihi.Kwani yeye ni dhalimu?
Walio wengi kama hiviWewe wasema...
Nitegemee useme tofauti?!!!😲🤣🤣
Watanzania walio wengi wanakiamini chama hiki kikongwe kuliko "vyama vya matukio"......
#SiempreCCM