Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Maneno yenu hayo.....Kuna wana CCM kwenye kamati kuu yao wanataka kumharibia mama kwenye uongozi wake, awe makini sana na watu hao.
Leo mama yupo mtu kati kuhusu kesi ya ugaidi...wao wapo poa tu na wake zao.
Mh.Rais SSH ni mwenyekiti wa chama bora ,cha mfano na kikongwe AFRIKA....anakijua chama "in and out".....
Mh.Rais SSH amekuwa mjumbe wa kamati kuu kwa muda mrefu sana.......
#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
#NchiKwanzaKablaYaYeyoteNaChochote
#KaziIendelee