GE2025 Kuna kila dalili CCM wakakatisha kampeni. Sababu ni hizi hapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sema nini, kampeni zinaweza kiendelea lakini nimegundua Watz wa kijani hawana aibu kwakweli. Pamoja na zama hizi za karne ya 21 ambayo watu wamejanjaruka lakini wengine bado wanawaona wengine ni wajinga
Hasa hasa wamama ambao wengi ni single mother na makahaba ambao hutumika sana
 
Sema nini, kampeni zinaweza kiendelea lakini nimegundua Watz wa kijani hawana aibu kwakweli. Pamoja na zama hizi za karne ya 21 ambayo watu wamejanjaruka lakini wengine bado wanawaona wengine ni wajinga
Hata hivo ni wajinga
 
MTOA post pole sana
Huu moto wa kampeni ni mpaka October 29 TUNATIKI โœ…
 
Tanzania hii kuna watu wa kuzomea ccm kweli?, wakifanya hivo yatakuwa maendeleo makubwa na mabadiliko
 
Kwa mfano hoja ya slow slow kuhusu mwenda zake ikienea vizuri kule kwa wakupush,italeta madhara makubwa sana kwa mboga mboga kanda ile
 
Ramli chonganishi.
Hata hivyo,hawahitaji kampeni ili washinde.
a
 
Ungejikita kwenye CHADEMA yako badala ya kupiga ramli hapa kuhusu CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ