johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
😁😁 Wagner groupHataweza shindana na
1. Zanzibar Gang
2. Msoga Gang
3. Mjahidina Gang
Waache tu wasikusumbue kichwa. Serikali yetu hii tupo nayo bega kwa bega
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁 Wagner groupHataweza shindana na
1. Zanzibar Gang
2. Msoga Gang
3. Mjahidina Gang
Waache tu wasikusumbue kichwa. Serikali yetu hii tupo nayo bega kwa bega
unda chama chako na mamako nyumbani kwenu ushirikiane na wauza nandariChadema ni upinzani kibogoyo wakiitwa ikulu wanaunga juhudi mkono
inabidi kiundwe chama kipya cha upinzan ila kwa chadema miaka million 10 ccm ataendelea kung'ang'ania madaraka
ntaunda na mamaakounda chama chako na mamako nyumbani kwenu ushirikiane na wauza nandari
Makuwadi na madalali ya dpworld tunawaonya pamoja na hao mnaowakuwadia kuwa wakija hapo bandarini tutawageuza nyama wapuuz nyinyi.
Acha kushikiwa akili na wanasiasa uchwara wewe. Ni aibu kuona kijana kama wewe umezaliwa ili utumiwe na wanasiasa uchwara ambao wao watoto wao wako ulaya na marekani wakitengeneza maisha yao na ya wazazi wao ( hao wanaokutumia)Tabla lasa, raisi anakila kitu unashindwa kufanya mageuzi mpaka uwape waarabu mpaka na kitovu chako cha uchumi bure, unajeshi, tiss, polish, makada hao wote wameshindwa mpaka mwarabu ndio ataweza!?
makuwadi ya dpworld yaliyohongwa mtamsumbua nani, uzuri tunawasubir 2025 ndio mtaelewa vizuri.Hataweza shindana na
1. Zanzibar Gang
2. Msoga Gang
3. Mjahidina Gang
Waache tu wasikusumbue kichwa. Serikali yetu hii tupo nayo bega kwa bega
Ujinga ni mzigo kweli,vyama vipo 22 unatapika uchafu wako hapa kuhusu CHADEMA,unda chama na babaako basiChadema ni upinzani kibogoyo wakiitwa ikulu wanaunga juhudi mkono
inabidi kiundwe chama kipya cha upinzan ila kwa chadema miaka million 10 ccm ataendelea kung'ang'ania madaraka
makuwadi yaliyohongwa na dpworld.Wasikusumbue.
Vikundi maslahi tu hivyo
ntaunda na mamaakoUjinga ni mzigo kweli,vyama vipo 22 unatapika uchafu wako hapa kuhusu CHADEMA,unda chama na babaako basi
makuwadi ya dpworld tuyakatae yamehongwa kuuza mali za tanganyika.Acha kushikiwa akili na wanasiasa uchwara wewe. Ni aibu kuona kijana kama wewe umezaliwa ili utumiwe na wanasiasa uchwara ambao wao watoto wao wako ulaya na marekani wakitengeneza maisha yao na ya wazazi wao ( hao wanaokutumia)
Nchi moja kuingia mkataba na nchi nyingine haimaanishi kwamba serikali imeshindwa, bali ni katika uboreshaji wa mbinu za kiuchumi.
Hii dp world ndio inayoendesha bandari za Marekani, Uingereza na nchi nyingine kubwa ambazo wenye akili na wafuatiliaji wa mambo ya dunia wanazifahamu.
So wewe unafikiri raisi wa Marekani au Queen Elizabeth wa Uingereza hawakuwa na uwezo wa kuendeleza bandari zao hadi kuwakabidhi hao jamaa?
Je wao hawana jeshi, fbi, cia nk?
Hawana matajiri wa kuziendesha bandari zao?
Akili za kuambiwa changanya na zako, usiwe kama bata anaerushiwa tunge la ugali na kukimbilia kulimeza bila kufikiri labda sometimes anaweza kuwekewa jiwe katikati ya tonge ili baadae lije kumdhuru.
Shtuka kijana, acha kutumiwa na wapiga deal, wakwepa kodi bandarini na wapitisha madawa ya kulevya.
Wenzio wanapiga kelele ili kupambania kitumbua chao pale bandarini afu wewe unaishia kutumia bando lako, pumzi yao na nguvu zako kupigania ulaji wao.
Una ushahidi, au ni pumba zako tu za siku zote?Chadema siku zote wanatumika na Pengo.... Pengo akisema Dr Slaa muunge mkono Magufuli....anafanya hivyo mara moja...na sasa Pengo kasema "zuia Samia 2025"...
Chadema nao hasa Dr Slaa ambae bado ana influence...wameingia kazini
Tends ilitangazwa wapi? Dpworld alishindanishwa na nani?Mwarabu siyo mara ya kwanza na Wala Tz siyo nchi ya kwanza kuweka uwekezeji katika masuala hayo ya bandari,tatizo lenu ni nin??
Au mkitaka apewe muisrael Taifa teule??Hana pesa sasa kama anayo aje apewe ili mfurahi
Uislamu diniHakuna bandari inayouzwa,usikubali kuburuzwa kiboya
Wakitajwa waarabu tu huyo kenge lazima ajeMtanena kwa lugha zenu mwaka huu