Kuna kila dalili CHADEMA na Sukuma Gang wameunda umoja wa siri dhidi ya Serikali. Umoja wenu uwe na hoja za msingi zenye mashiko

Chadema ni upinzani kibogoyo wakiitwa ikulu wanaunga juhudi mkono
inabidi kiundwe chama kipya cha upinzan ila kwa chadema miaka million 10 ccm ataendelea kung'ang'ania madaraka
unda chama chako na mamako nyumbani kwenu ushirikiane na wauza nandari
 
Makuwadi na madalali ya dpworld tunawaonya pamoja na hao mnaowakuwadia kuwa wakija hapo bandarini tutawageuza nyama wapuuz nyinyi.

Hasira za mkizi hizo,wenzako walivyoitisha maandamano juz hapa why hata kusogea hukusogea??
 
Chadema siku zote wanatumika na Pengo.... Pengo akisema Dr Slaa muunge mkono Magufuli....anafanya hivyo mara moja...na sasa Pengo kasema "zuia Samia 2025"...
Chadema nao hasa Dr Slaa ambae bado ana influence...wameingia kazini
 
Tabla lasa, raisi anakila kitu unashindwa kufanya mageuzi mpaka uwape waarabu mpaka na kitovu chako cha uchumi bure, unajeshi, tiss, polish, makada hao wote wameshindwa mpaka mwarabu ndio ataweza!?
Acha kushikiwa akili na wanasiasa uchwara wewe. Ni aibu kuona kijana kama wewe umezaliwa ili utumiwe na wanasiasa uchwara ambao wao watoto wao wako ulaya na marekani wakitengeneza maisha yao na ya wazazi wao ( hao wanaokutumia)

Nchi moja kuingia mkataba na nchi nyingine haimaanishi kwamba serikali imeshindwa, bali ni katika uboreshaji wa mbinu za kiuchumi.

Hii dp world ndio inayoendesha bandari za Marekani, Uingereza na nchi nyingine kubwa ambazo wenye akili na wafuatiliaji wa mambo ya dunia wanazifahamu.

So wewe unafikiri raisi wa Marekani au Queen Elizabeth wa Uingereza hawakuwa na uwezo wa kuendeleza bandari zao hadi kuwakabidhi hao jamaa?
Je wao hawana jeshi, fbi, cia nk?

Hawana matajiri wa kuziendesha bandari zao?

Akili za kuambiwa changanya na zako, usiwe kama bata anaerushiwa tunge la ugali na kukimbilia kulimeza bila kufikiri labda sometimes anaweza kuwekewa jiwe katikati ya tonge ili baadae lije kumdhuru.

Shtuka kijana, acha kutumiwa na wapiga deal, wakwepa kodi bandarini na wapitisha madawa ya kulevya.

Wenzio wanapiga kelele ili kupambania kitumbua chao pale bandarini afu wewe unaishia kutumia bando lako, pumzi yao na nguvu zako kupigania ulaji wao.
 
Hataweza shindana na
1. Zanzibar Gang
2. Msoga Gang
3. Mjahidina Gang

Waache tu wasikusumbue kichwa. Serikali yetu hii tupo nayo bega kwa bega
makuwadi ya dpworld yaliyohongwa mtamsumbua nani, uzuri tunawasubir 2025 ndio mtaelewa vizuri.
 
Chadema ni upinzani kibogoyo wakiitwa ikulu wanaunga juhudi mkono
inabidi kiundwe chama kipya cha upinzan ila kwa chadema miaka million 10 ccm ataendelea kung'ang'ania madaraka
Ujinga ni mzigo kweli,vyama vipo 22 unatapika uchafu wako hapa kuhusu CHADEMA,unda chama na babaako basi
 
Ni Team Msoga ndio wamewaunganisha hao magenge wawili pasipo wao kutaka
 
Acha kushikiwa akili na wanasiasa uchwara wewe. Ni aibu kuona kijana kama wewe umezaliwa ili utumiwe na wanasiasa uchwara ambao wao watoto wao wako ulaya na marekani wakitengeneza maisha yao na ya wazazi wao ( hao wanaokutumia)

Nchi moja kuingia mkataba na nchi nyingine haimaanishi kwamba serikali imeshindwa, bali ni katika uboreshaji wa mbinu za kiuchumi.

Hii dp world ndio inayoendesha bandari za Marekani, Uingereza na nchi nyingine kubwa ambazo wenye akili na wafuatiliaji wa mambo ya dunia wanazifahamu.

So wewe unafikiri raisi wa Marekani au Queen Elizabeth wa Uingereza hawakuwa na uwezo wa kuendeleza bandari zao hadi kuwakabidhi hao jamaa?
Je wao hawana jeshi, fbi, cia nk?

Hawana matajiri wa kuziendesha bandari zao?

Akili za kuambiwa changanya na zako, usiwe kama bata anaerushiwa tunge la ugali na kukimbilia kulimeza bila kufikiri labda sometimes anaweza kuwekewa jiwe katikati ya tonge ili baadae lije kumdhuru.

Shtuka kijana, acha kutumiwa na wapiga deal, wakwepa kodi bandarini na wapitisha madawa ya kulevya.

Wenzio wanapiga kelele ili kupambania kitumbua chao pale bandarini afu wewe unaishia kutumia bando lako, pumzi yao na nguvu zako kupigania ulaji wao.
makuwadi ya dpworld tuyakatae yamehongwa kuuza mali za tanganyika.
 
Chadema siku zote wanatumika na Pengo.... Pengo akisema Dr Slaa muunge mkono Magufuli....anafanya hivyo mara moja...na sasa Pengo kasema "zuia Samia 2025"...
Chadema nao hasa Dr Slaa ambae bado ana influence...wameingia kazini
Una ushahidi, au ni pumba zako tu za siku zote?

Una thinking ya kitoto sana.
 
Mwarabu siyo mara ya kwanza na Wala Tz siyo nchi ya kwanza kuweka uwekezeji katika masuala hayo ya bandari,tatizo lenu ni nin??

Au mkitaka apewe muisrael Taifa teule??Hana pesa sasa kama anayo aje apewe ili mfurahi
Tends ilitangazwa wapi? Dpworld alishindanishwa na nani?
 
Back
Top Bottom