Mafuta wanapandisha bei OPECBe the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.
Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya mafuta mazito.
Kwa sasa scarcity inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.
Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
TISS watasema nini kama kazi yao kuu ni kujua CHADEMA wana mikakati gani juu ya kuchua nchi? Hivi bado mna imani na hiyo taasisi? Kama walio wazi tena juani PolisiTZ wako hivyo uwaonavyo je TISS walio gizani?TISS shtukeni.
JM ni "implant" wa America.
Endeleeni kushupaza shingo na kulea saratani.
Shida ni huyo ajuza hapo jumba jeupe. Mpaka sasa hajui anachokifanya na bado anataka kuendelea 2025. Utopolo mtupu.TISS shtukeni.
JM ni "implant" wa America.
Endeleeni kushupaza shingo na kulea saratani.
TISS shtukeni.
JM ni "implant" wa America.
Endeleeni kushupaza shingo na kulea saratani.
Kwani kuna mtihani?Umeelewa mada?
Huna akili kabisa weweBe the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.
Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya mafuta mazito.
Kwa sasa scarcity inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.
Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
Huo ndio ukweli halisi,Tangu makamba ameingia wizara ya Nishati kazi kubwa wanayoifanya Msiga Gang ni kutengeneza mazingira ya kupata 10- 20% peke yake.Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.
Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya mafuta mazito.
Kwa sasa scarcity inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.
Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
Ngoja tupige jaramba majenereta kabisa na kustock wese
Fisi nani na Bucha ni lipi😂Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.
Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya mafuta mazito.
Kwa sasa scarcity inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.
Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
TISS ipi mkuu?TISS shtukeni.
JM ni "implant" wa America.
Endeleeni kushupaza shingo na kulea saratani.
Soon akina Singasinga wataanza michoro yao kama bado.Huo ndio ukweli halisi,Tangu makamba ameingia wizara ya Nishati kazi kubwa wanayoifanya Msiga Gang ni kutengeneza mazingira ya kupata 10- 20% peke yake.
Ndio maana kazi ya kwanza ilikuwa ni kuipangua safu yote ya wataalamu.
93% au 99.9%?....TISS ni jumuiya ya Ccm, sawa na Uwt, Wazazi, etc.
..wako kwa ajili ya kulinda maslahi ya Ccm na watawala.
..utetezi wa maslahi yetu ungeweza kutoka bungeni, lakini huko nako Ccm wako asilimia 93%.
Kwani Mafuta hayatapanda bei?Kuna issues sio lazima uchangie.