Tetesi: Kuna kila dalili hii nchi tunarudi kwenye IPTL nyingine

Lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
28,259
Reaction score
41,416
Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.

Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito.

Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.

Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
 
Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.

Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya mafuta mazito.

Kwa sasa scarcity inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.

Mafuta wanapandisha bei OPEC
 
TISS shtukeni.
JM ni "implant" wa America.

Endeleeni kushupaza shingo na kulea saratani.
TISS watasema nini kama kazi yao kuu ni kujua CHADEMA wana mikakati gani juu ya kuchua nchi? Hivi bado mna imani na hiyo taasisi? Kama walio wazi tena juani PolisiTZ wako hivyo uwaonavyo je TISS walio gizani?
 
Nakuamini sana Mwaisa. Na kwa kuwa umeanumeandika wewe, naamini ni kweli ipo.
 
Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.

Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya mafuta mazito.

Kwa sasa scarcity inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.

Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
Huna akili kabisa wewe
 
Huo ndio ukweli halisi,Tangu makamba ameingia wizara ya Nishati kazi kubwa wanayoifanya Msiga Gang ni kutengeneza mazingira ya kupata 10- 20% peke yake.

Ndio maana kazi ya kwanza ilikuwa ni kuipangua safu yote ya wataalamu.
 
Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.

Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya mafuta mazito.

Kwa sasa scarcity inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.

Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
Fisi nani na Bucha ni lipi😂
 
..TISS ni jumuiya ya Ccm, sawa na Uwt, Wazazi, etc.

..wako kwa ajili ya kulinda maslahi ya Ccm na watawala.

..utetezi wa maslahi yetu ungeweza kutoka bungeni, lakini huko nako Ccm wako asilimia 93%.
93% au 99.9%?..
Bahati mbaya tuliyonayo hakuna mwananchi anaguswa na huu upuuzi. Watu wapo busy kujisogeza kwenye sinia ya pilau badala ya kupambana kuuondoa huu uchafu.
 
Back
Top Bottom