Uchaguzi 2020 Kuna kila dalili huenda mwiko unaenda kuvunjika

Kijiji gani??we ongelea kijijini kwenu tu mzee, huko kwenu inaelekea bado ni ulimwengu wa giza...mi nafanya projects vijijini mikoa tofati watu wameamka mnoo!!watu hawaitaki Ccm na Ccm mwaka huu inaanguka
Kama unafanya project vijijini, basi ndiko kwenye waliolala wanaotegemea projects za NGO. Huwezi kufika kijijini kwetu kwa vile wao hawategemei project hizo bali wanajitegemea wenyewe na wako happy sana na maisha sasa hivi kuliko enzi zozote. Nyumba za nyasi zinafutika haraka sana kwa sababu kila familia inataka umeme nyumbani; nyumba za nyasi zimebaki kama asilimia kumi tu ya kijiji (na kata) chote. Mwendo ni wa aina hiyo hiyo kwenye kiwango cha kata na tarafa pia; sasa hivi vijiji vimekuwa kama vinashindana kufuta nyumba za nyasi.
 
Kijiji gani??we ongelea kijijini kwenu tu mzee, huko kwenu inaelekea bado ni ulimwengu wa giza...mi nafanya projects vijijini mikoa tofati watu wameamka mnoo!!watu hawaitaki Ccm na Ccm mwaka huu inaanguka
Walisema huko kanda ya ziwa Lissu hawamjui jana na juzi wameona Kazi ya Rukwa, Mpanda, sumbawanga na Kigoma. Wanaweseseka tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Walisema huko kanda ya ziwa Lissu hawamjui jana na juzi wameona Kazi ya Rukwa, Mpanda, sumbawanga na Kigoma. Wanaweseseka tu
Ndo namwambia huyo ndugu yangu kuachana na ushabiki,CDM huko vijijini inaamsha vibaya sana,yeye atakua anaongelea Chato labda!!watu wameamka sana miaka hii
 
October 28 ni mbali sana. Mh. saana Mwenyekiti wangu wa CCM ana kazi nzito sana.

Hakuna kazi ngumu kama kumshawishi mtu aliyekata tamaa, na mbaya zaidi wasaidizi wako wanakuhujumu kwa kuendelea kuwapotezea matumaini.

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, kwa tume huru na uchaguzi wa haki naiona jinsi meza inavyogeuka kwa speed.

Mungu ni mwema, haki huinua taifa. Kama Taifa tusimamie haki, sioni ubaya mimi CCM kuona tunashindwa na kuwa wapinzani ikiwa pana haki.

Tanzania ni zaidi ya chama, Tanzania ni zaidi ya mtu au kikundi maslahi.
 
Too low
 
Walisema huko kanda ya ziwa Lissu hawamjui jana na juzi wameona Kazi ya Rukwa, Mpanda, sumbawanga na Kigoma. Wanaweseseka tu
Kujipa matumaini ni jambo zuri sana kwa sababu husaidia katika kutunza sanity yako. Lakini subiri Octiber 28 ambayo ndiyo fainali. Zimebaki siku chache sana
 


Saada Mkuya Waziri wa FEDHA enzi hizo.
 
Haya maudhui yako ya ndoto sio. Moderator futa mbali.
Wingu jeusi ni utabiri tu.
 
October hao ndugu zako wataondoka kwenye enzi za ujima.
 
October hao ndugu zako wataondoka kwenye enzi za ujima.
Wako developed sana siku hizi; hawana vibatari wala taa za chemli, na kidogo kidogo wanaachana na majiko ya kuni na mkaa. Inawezekana wewe unawasiliana na vijiji vinavyoishi maisha ya ujima, na unadhani kuwa Tanzania yote iko hivyo. Kiongozi wa CHADEMA anayesema kuwa ataboresha maisha ya watanzania wakati hajaboresha maisha ya wafanyakazi wa CHEADEMA bado wako hoi, ni wa kuogopwa kama ukoma! Ofisi ya makao makuu ya Chedama ni kama nyumba ya mtu wa kawaida sana kijijini kwetu.
 
Hao ndugu zako hawako huru, hawawezi hata kuhoji ni kwanini umeme wa REA unasambazwa kwa kasi kubwa kipindi hiki cha uchaguzi wakati uzalishaji wetu wa umeme haujaongezeka.
 
Nchi sio chama, nchi Ni katiba chama chochote chaweza kuongoza Kama kikiaminiwa na wananchi
 
Mgombea wa ccm hauziki tuliwaambia wabadili mgombea awakusikia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…