Uchaguzi 2020 Kuna kila dalili huenda mwiko unaenda kuvunjika

Hao ndugu zako hawako huru, hawawezi hata kuhoji ni kwanini umeme wa REA unasambazwa kwa kasi kubwawkipindi hiki cha uchaguzi wakati uzalishaji wetu wa umeme haujaongezeka.
neno huru kwako lina maan a tofauti na maana halisi ya watu kuwa huru. Kwetu tuna umeme tangu mwaka juzi, lakini wewe unaongea umeme wa leo. Mpaka sasa hivi kuna vijana wana ajira za "fundi umeme" ambao wanatandika waya za umeme kwenye nyumba kwa malipo laki moja na nusu hadi laki mbili pamoja na gharama za vifaa. Wewe endelea kulala na kuota tu, wengine wameshaamka wako kazini sasa.
 
Wewe ni Mmalawi?
 
Una uhuru gani chini ya mkoloni CCM anaekuchagulia mpaka viongozi wa kukuongoza?
 
Wewe upo porini wacha mna njaa sana mnaonesha
 
Kujipa matumaini ni jambo zuri sana kwa sababu husaidia katika kutunza sanity yako. Lakini subiri Octiber 28 ambayo ndiyo fainali. Zimebaki siku chache sana
Ndugu hebu acha kutuletea stori za alinacha...Ni hivi, Magufuli hawezi kushinda kwenye sanduku la kura period! Acha kujibereuza hapa. Kama Magufuli atashinda basi ni kwa sababu ya msaada wa tume yake na vyombo vya dola bas! Hata kama wewe ni wa mrengo wa watawala labda ni miongoni mwa wafaidika wa utawala, elewa kwamba sasa hivi watanzania wengi wanajielewa, sio wapumbavu tena. Sasa hivi muda wa kutudanganya umepita acha kupoteza muda wako bure!
 
Kujipa matumaini ni jambo zuri sana kwa sababu husaidia katika kutunza sanity yako. Lakini subiri Ocoiber 28 ambayo ndiyo fainali. Zimebaki siku chache sana. Usitafute sababu za kushindwa kwani ni moja tu, kuwa kura hazitatosha
 
Watu wenye mawazo mgando Kama huyu ni hatari kwa ustawi wa nchi
 
Nyie nyie! mmesahau bao la mkono yaani ushindi wa mezani
 
Kijiji gani mkuu??acha kujifariji.huu ndo upinzani Original.ccm oyee
 
Kijiji gani mkuu??acha kujifariji.huu ndo upinzani Original.ccm oyee
Nikiwa mwanaCHADEMA na nikiwa bado naruhusiwa kupiga kura kabla ya huu utaratibu wa vitambulisho mwaka 2010 nisafiri kwenda kuipigia kura CHADEMA. Leo hata kama ningekuwa na kitambulisho nisingeipigia CHADEMA; kwani kijiji chetu karibu chote hakuna kura ya CHADEMA tena.
 
Jiandae kisaikolojia, Magufuli atashinda kwa kishindo kikuu hiyo Oct 28.Lissu hawezi kuwa Rais wa tanzania, ukawa walichemsha 2015, ndio basi tena.
Mbowe kaona Lissu anachangamsha genge tuu hawezi kushinda urais kaamua kuachana nae. Huyo atakuwa rais wa miga.
 
Uchumi wa kati wana enjoy wale walio karibu na mwenyekiti wa chama huku wakipewa PUMBAVU za hapa na pale

Mwenyekiti amekigawa chama... CCM asili wanamchora tu.
Anaendesha chama kibabe, Hana mvuto, hawezi kujenga hoja, anafokea wapiga kura...

Wale CCM mamluki wapo pale kwa njaa zao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…