Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada.

Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran.

Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena.

Maana hakuna mpinzani wa Marekani ikija kwenye mambo ya kijeshi [ukiacha makomandoo wa JWTZ 🤣].

Marekani ina makombora ya kuweza kubomoa mahandaki ya Iran yaliyoko chini sana ardhini.

Israel hana hizo bunker busters.

Hii pia ni ushahidi mwingine kuwa Israel bila Marekani hamna kitu kabisa.

View: https://x.com/breeadail/status/1934753492691812700
 
Licha ya kuwa pro America, hii vita haijaanzishwa na Iran.

Iran ndo victim hapa.

Yale yale ya 2003 yanataka kujirudia.

Na Trump naye ni mtu wa porojo.

Kapiga kampeni kuwa hapendi mavita lakini sasa Marekani inakaribia kujiingiza vitani chini ya utawala wake.

SMH!
 
Write your reply...vyombo vingi vya magharibi haviongei ukweli kuhusu hali ilivyo israel ila ukweli inchi imebomolewa vibaya mno na kama wakiacha ipite week hakuna jengo lolote litakalobaki limesimama kwenye miji yote mikubwa ya tel aviv jerusalem na haifa
 
Pengine ndo moja ya sababu Marekani imeamua kuingilia [kwa kisingizio kwamba Iran imeshambulia maslahi yake]…..
 
Write your reply...vyombo vingi vya magharibi haviongei ukweli kuhusu hali ilivyo israel ila ukweli inchi imebomolewa vibaya mno na kama wakiacha ipite week hakuna jengo lolote litakalobaki limesimama kwenye miji yote mikubwa ya tel aviv jerusalem na haifa
Endelea kujidanganya,kama leo Iran imeshindwa kuvurumisha missile zake huoni kuwa yeye ndio ana hali mbaya
 
Licha ya kuwa pro America, hii vita haijaanzishwa na Iran.

Iran ndo victim hapa.

Yale yale ya 2003 yanataka kujirudia.

Na Trump naye ni mtu wa porojo.

Kapiga kampeni kuwa hapendi mavita lakini sasa Marekani inakaribia kujiingiza vitani chini ya utawala wake.

SMH!

Moja ya sababu ya Trump kurudi madarakani ni kwa sababu ya hzi mambo , Wanahtaji mtu aggressive , israel hajaipiga iran kwa kukurupuka , ramani imechorwa mapema , mimi simlaumu iran mana kwa kweli hana option nyingine zaidi ya liwalo na liwe , kuja wakat mambo yanapokuwa magumu kama mwanaume inabd ukubaliane na hali
 
Iran angekuwa mjanja angejitengeneza kwanza kiuchumi,kijasusi na kijeshi kwa mapana yake sio kutegemea ballistic missile peke yake ndio utegemee utamshinda Israel au Marekani. Baadae ndio aanze mambo ya nuclear.
 
Moja ya sababu ya Trump kurudi madarakani ni kuivamia Iran? Au sijakuelewa?
 
Iran angekuwa mjanja angejitengeneza kwanza kiuchumi,kijasusi na kijeshi kwa mapana yake sio kutegemea ballistic missile peke yake ndio utegemee utamshinda Israel au Marekani. Baadae ndio aanze mambo ya nuclear.
Ukraine aliponzwa kwa kutegemea USA kaachwa alone.
Trump si mtu wa vita ye ni WA uchumi.
Vipi urusi China na north Korea wakiungana kumsapoti Iran ngoma itakuaje
 
Lazima aingie,big opportunity kwa wall street and military industrial complex , unaanza na regime change then military build up, zinapigwa contract za defense,weapons supply & support 😂😩worth billions for the next 100 years, same playbook waliyoitumia Kuwait, Afghanistan and Iraq,achana na beberu
 
Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada.

Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran.

Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena.

Maana hakuna mpinzani wa Marekani ikija kwenye mambo ya kijeshi [ukiacha makomandoo wa JWTZ 🤣].

Marekani ina makombora ya kuweza kubomoa mahandaki ya Iran yaliyoko chini sana ardhini.

Israel hana hizo bunker busters.

Hii pia ni ushahidi mwingine kuwa Israel bila Marekani hamna kitu kabisa.

View: https://x.com/breeadail/status/1934753492691812700

USA ni underdog tu wa Israel kwa kila kitu.

Kwanini USA ijifiche nyuma ya kichaka cha kuisaidia Israel kivita ikiwa iko vizuri kidiplomasia, kiuchumi, kiteknolojia, kimbinu na hata kiintelejensia(kijasusi)?

USA inaogopa nini haswa ambacho Myahudi haogopi hadi kila siku Israel kuwa na mwendelezo wa vita hata kabla Babu na Bibi zako hawajazaliwa?

Punguza mahaba kwa USA mtumwa wa kale (mmarekani wa sasa).

By the way, kwanini ngozi nyeusi za USA huwa mnajiona mna upekee sana wa ubora hadi mbague ngozi nyeusi wenzenu toka mabara mengine kuliko races zingine huko USA?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
USA ni underdog tu wa Israel wa kila kitu kwa Israel.

Kwanini USA ijifiche nyuma ya kichaka cha kuisaidia Israel kivita ikiwa iko vizuri kidiplomasia, kiuchumi, kiteknolojia, kimbinu na hata kiintelejesia?

USA inaogopa nini haswa ambacho Myahudi haogopi hadi kila siku Israel kuwa na mwendelezo wa vita hata kabla Babu na Bibi zako hawajazaliwa?
Punguza mahaba kwa USA mtumwa wa kale (mmarekani wa sasa).

By the way, kwanini ngozi nyeusi za USA huwa mnajiona mna upekee sana wa ubora hadi mbague ngozi nyeusi wenzenu toka mabara mengine kuliko races zingine huko USA?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Amini unachotaka.

Uchumi wa dola trilioni 30 unasema unaendeshwa na uchumi wa dola bilioni 500? Really?

At this point believe what you want to believe! I can’t fix stupid.
 
Back
Top Bottom