Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
- Thread starter
- #21
🤣🤣.Piga pigaaaa!!!! Kicha wa kidini hawezi kuachiwa amiliki nyuklia.... Iran imekua ikifadhili magaidi wa kiislamu kote, hii ndio kiama chao

marekani wanahtaji mtu aggressive kwenye war zone sio kwa isarael tuu , hapo isarel ni respond ndogo sana kati ya respond kubwa zinazotazamiwaMoja ya sababu ya Trump kurudi madarakani ni kuivamia Iran? Au sijakuelewa?
Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada.
Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran.
Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena.
Maana hakuna mpinzani wa Marekani ikija kwenye mambo ya kijeshi [ukiacha makomandoo wa JWTZ 🤣].
Marekani ina makombora ya kuweza kubomoa mahandaki ya Iran yaliyoko chini sana ardhini.
Israel hana hizo bunker busters.
Hii pia ni ushahidi mwingine kuwa Israel bila Marekani hamna kitu kabisa.
View: https://x.com/breeadail/status/1934753492691812700
Umejaa upepo mapema sana, si dalili nzuri kwa Mtu anayejenga hoja kwa mjadala wowote, kwani nawe ni jinsi ile ambayo hutumia sana hisia kuliko akili kimaamuzi? Kua kiakili si kimihemuko.Amini unachotaka.
Uchumi wa dola trilioni 30 unasema unaendeshwa na uchumi wa dola bilioni 500? Really?
At this point believe what you want to believe! I can’t fix stupid.
Duh!! Hata Sijaelewa 🤣.marekani wanahtaji mtu aggressive kwenye war zone sio kwa isarael tuu , hapo isarel ni respond ndogo sana kati ya respond kubwa zinazotazamiwa
Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada.
Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran.
Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena.
Maana hakuna mpinzani wa Marekani ikija kwenye mambo ya kijeshi [ukiacha makomandoo wa JWTZ 🤣].
Marekani ina makombora ya kuweza kubomoa mahandaki ya Iran yaliyoko chini sana ardhini.
Israel hana hizo bunker busters.
Hii pia ni ushahidi mwingine kuwa Israel bila Marekani hamna kitu kabisa.
View: https://x.com/breeadail/status/1934753492691812700
Why the ad hominem attacks?Umejaa upepo mapema sana, si dalili nzuri kwa Mtu anayejenga hoja kwa mjadala wowote, kwani nawe ni jinsi ile ambayo hutumia sana hisia kuliko akili kimaamuzi? Kua kiakili si kimihemuko.
Utumwa mwingine ulionao ni matumizi ya lugha ya Mabeberu ilihali uliyeninukuu nimekuuliza kwa Kiswahili na umenielewa, huo ni ushamba.
Acha kujipendekeza kwenye lugha za Mabeberu we Msukuma wa Ushirombo.
Kuna ulazima upi USA awe na ushirika wa kila ishu na Israel ikiwa ana ukwasi wote huo?
Mataifa mangapi yana ushirikiano na USA lakini kwanini Israel ndiyo iwe kipaumbele zaidi kwa USA na si nchi zingine?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hamna kitu humo Mkuu, anatupigia kelele kila siku ilihali kiuhalisia ni mahaba niue tu ndiyo yanayomtesa moyoni.The sameway marekan bila Israel hakuna kitu. Maana kama mifumo na idara zote muhim wanashikilia jews kuna nini tena
Hakuna kitu kama hicho. Israel hamna kitu kabisa bila backing ya Marekani.The sameway marekan bila Israel hakuna kitu. Maana kama mifumo na idara zote muhim wanashikilia jews kuna nini tena
Umeingia kwenye mtumbwi wa vibwengo, hakuna hoja uliyopangua hata moja, haya kakojoe kisha urudi kulala Mtoto mzuri.Why the ad hominem attacks?
Yaani hoja zako zote ni mimi tu. Mara sijui utumwa, mara sijui lugha nayotumia, n.k.
Hadi kufikia sasa ushaniota usiku mara ngapi wewe?
Kama una homoerotic fantasies kunihusu mimi, umekosea njia aisee.
Tafuta wenzio unaofanana nao kimwelekeo.
Weirdo.
Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada.
Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran.
Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena.
Maana hakuna mpinzani wa Marekani ikija kwenye mambo ya kijeshi [ukiacha makomandoo wa JWTZ 🤣].
Marekani ina makombora ya kuweza kubomoa mahandaki ya Iran yaliyoko chini sana ardhini.
Israel hana hizo bunker busters.
Hii pia ni ushahidi mwingine kuwa Israel bila Marekani hamna kitu kabisa.
View: https://x.com/breeadail/status/1934753492691812700
Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada.
Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran.
Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena.
Maana hakuna mpinzani wa Marekani ikija kwenye mambo ya kijeshi [ukiacha makomandoo wa JWTZ 🤣].
Marekani ina makombora ya kuweza kubomoa mahandaki ya Iran yaliyoko chini sana ardhini.
Israel hana hizo bunker busters.
Hii pia ni ushahidi mwingine kuwa Israel bila Marekani hamna kitu kabisa.
View: https://x.com/breeadail/status/1934753492691812700
asa kama huna mpango wa kuelewa utaelewajeDuh!! Hata Sijaelewa 🤣.
🤣.Umeingia kwenye mtumbwi wa vibwengo, hakuna hoja uliyopangua hata moja, haya kakojoe kisha urudi kulala Mtoto mzuri.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Wanaenda kuiharibu hiyo nchi kama walivyoiharibu Iraq.This is the only chance to remove Iran and its proxies as a threat to Israel and the US...
Kama ulichoandika hakieleweki, nitaelewaje sasa?asa kama huna mpango wa kuelewa utaelewaje
Sasa wewe umejuaje? Tupe sasa sources nyingine. Mambo ya ikipita wiki moja, mwenzako anaomba pooWrite your reply...vyombo vingi vya magharibi haviongei ukweli kuhusu hali ilivyo israel ila ukweli inchi imebomolewa vibaya mno na kama wakiacha ipite week hakuna jengo lolote litakalobaki limesimama kwenye miji yote mikubwa ya tel aviv jerusalem na haifa
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.🤣.
Zaidi ya kunishambulia binafsi yangu, wewe umetoa hoja gani?
Punguza hashuo hizo.
Unaumia nini unapoona naandika kwa lugha ninayoitaka?
Nawe unatamani ungekuwa na uwezo huo eh? Kwa vile huna, unaishia kukereka, kununa, kutukana, na kushikwa na fundo kooni!
Al junun funun 🤣.