Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7

Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7

Write your reply...vyombo vingi vya magharibi haviongei ukweli kuhusu hali ilivyo israel ila ukweli inchi imebomolewa vibaya mno na kama wakiacha ipite week hakuna jengo lolote litakalobaki limesimama kwenye miji yote mikubwa ya tel aviv jerusalem na haifa
20250616_210247.jpg

Just Unbelievable 🤣
 
Marekani tayari ameshasema.

Hili lilikuwa suala la muda tu, maana Netanyahu alushaomba na naamini ilikuwa sehemu ya Mpango na inawezekana hata madai ya ubalozi wa Marekani Tel Aviv kushambuliwa na Iran 🇮🇷 ni staged to get the AMERIAN involved as soon as possible.
Nadhani uko sahihi!

Maskini Ayatollah ndo basi tena.

Ingekuwa ni Israel peke yake tu, angeweza ku survive.

Ila Marekani ikiingia…..ndo basi tena!!
 
Iran government is gone for good, I don't think they can hold for any time longer. Israel doesn't have GBU to penetrare deeper underground, the involvement of USA primary is for this job of annihilating the Iranian Nuclear sites.
 
Nadhani uko sahihi!

Maskini Ayatollah ndo basi tena.

Ingekuwa ni Israel peke yake tu, angeweza ku survive.

Ila Marekani ikiingia…..ndo basi tena!!
Hii ilipangwa muda Mrefu, MAREKANI amehamishia 30% of it's Spirit Bombers to the GUAM ISLAND mwanzoni mwaka huu kwa ajili ya hii shughuli. Trump ameondoka ghafla kwenye Mkutano wa G7 meaning he gonna declare war on Iran within 24 hrs
 
Iran angekuwa mjanja angejitengeneza kwanza kiuchumi,kijasusi na kijeshi kwa mapana yake sio kutegemea ballistic missile peke yake ndio utegemee utamshinda Israel au Marekani. Baadae ndio aanze mambo ya nuclear.
Iran has been under brutal sanctions regime since 1979. And compared to her Arab counterparts, Iran has done an incredible job surviving the onslaught of the Anglo-American Empire and their Zionist Pawn.​
 
Iran government is gone for good, I don't think they can hold for any time longer. Israel doesn't have GBU to penetrare deeper underground, the involvement of USA primary is for this job of annihilating the Iranian Nuclear sites.
Na Trump kaongea huko leo kuwa Iran nuclear reactors must be dismantled
 
Hii ilipangwa muda Mrefu, MAREKANI amehamishia 30% of it's Spirit Bombers to the GUAM ISLAND mwanzoni mwaka huu kwa ajili ya hii shughuli. Trump ameondoka ghafla kwenye Mkutano wa G7 meaning he gonna declare war on Iran within 24 hrs
Na huyo ndo alikuwa anajigamba kuwa ndo Rais ambaye wakati wa muhula wake wa kwanza, Marekani haikuingia kwenye vita yoyote ile.

Pia alikuwa anadai mara kwa mara wakati wa kampeni kuwa endapo angekuwa bado ni Rais, vita vya Urusi na Ukraine visingetokea.

Leo kabadilika kabisa na anajiandaa kuivamia nchi huru.

MAGA imegawanyika!

Tucker Carlson hataki vita. Marjorie Taylor Green hataki vita.

It’s getting very interesting….
 
Hiyo haiondoi ukweli kuwa mwisho wa Ayatollah umefika
Ayatollahs and his mullahs may be decapitated even tomorrow, but a bitter pill to swallow is that Iranians have been there for over 3000 years.

They'll outlive Americans, as they did the Greeks, the Romans, the Mongols and the British 🤣🤣​
 
Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada.

Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran.

Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena.

Maana hakuna mpinzani wa Marekani ikija kwenye mambo ya kijeshi [ukiacha makomandoo wa JWTZ 🤣].

Marekani ina makombora ya kuweza kubomoa mahandaki ya Iran yaliyoko chini sana ardhini.

Israel hana hizo bunker busters.

Hii pia ni ushahidi mwingine kuwa Israel bila Marekani hamna kitu kabisa.

View: https://x.com/breeadail/status/1934753492691812700

Hii vita toka ilipoaanza mpaka hapa ilipofikia ni ya Wamarekani, Waisrael ni actors tu, wakitekeleza amri ya Marekani.
 
Hii ilipangwa muda Mrefu, MAREKANI amehamishia 30% of it's Spirit Bombers to the GUAM ISLAND mwanzoni mwaka huu kwa ajili ya hii shughuli. Trump ameondoka ghafla kwenye Mkutano wa G7 meaning he gonna declare war on Iran within 24 hrs
Kweli kabisa. Wenzetu huwa wapo mbele zaidi kimahesabu kuanzia miaka 20, 30 hata 50 kabla ya kufanya ishu yoyote kwa kuangalia faida na hasara.

2018 chaneli ya Discovery Science ilikuwa inaeleza jinsi China ilivyokuwa na mkakati wa kuchimba reli ya treni za kisasa chini kwa chini toka China hadi USA na walikadiria ingeweza kurahisisha usafiri wa kasi kwa masaa mawili tu kufika USA kwa umbali huo.

Changamoto kuu iliyokutana nayo China ni jotoridi kali sana kwenye muhimili wa dunia inapojizungushia "Axis" ambapo ilishindwa kupata maarifa ya kuweza kutoboa hapo njia ya treni hiyo ya kisasa hata kama pangeweza kupitishwa kitu chochote chenye ubaridi wa hali ya juu sana kama maji ya centigrade 0 bado kingeyeyuka/kingeyeyushwa kwa jotoridi hilo kali la kwenye muhimili wa dunia (Axis).

Dunia ya kwanza wanaiishi kesho katika leo kimaendeleo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hizo ni historia tuu,watu wanajali maslahi yao ya leo na kesho
A conflict with Iran predates both the Ayatollah and the Shah. It started with US hijacking Iranian democracy by the overthrow of Iranian Prime Minister Mohammed Mossadegh (An Iranian Jew).

If you think killing the Ayatollah and his Mullahs will change a thing, then you're deeply out of touch with reality 🤣🤣​
 
Ningeandika mimi hivyo, ingekuwa nogwa 🤣.
 
Na huyo ndo alikuwa anajigamba kuwa ndo Rais ambaye wakati wa muhula wake wa kwanza, Marekani haikuingia kwenye vita yoyote ile.

Pia alikuwa anadai mara kwa mara wakati wa kampeni kuwa endapo angekuwa bado ni Rais, vita vya Urusi na Ukraine visingetokea.

Leo kabadilika kabisa na anajiandaa kuivamia nchi huru.

MAGA imegawanyika!

Tucker Carlson hataki vita. Marjorie Taylor Green hataki vita.

It’s getting very interesting….
Uhalisia THE CAPITAL OF THE WORLD INAHAMA KUTOKA WASHINGTON DC KWENDA JERUSALEM...

Baada ya Iran anafuata PAKISTAN.....

Baada ya kuimarika kwa Israeli na Kuwa center ya dunia, basi mwisho wa dunia umekaribia maana kuimarisha kwa taifa la Israeli na kuongoza dunia ni dalili ya kuja kwa MPINGA KRISTO [DAJJAL] ambao wengi wataamini ndiye YESU na MUNGU....

Kabla ya kushuka kwa YESU wa kweli [Nbii Isa Alayh Salam]
 
Nilichogundua,
Suala la kulinganisha uchumi WA makaratasi kwa Hawa mataifa makubwa haliga uhalisia Sana mnapokua "UWANJA WA KIVITA" na kweli mmedhamiria kuzichapa.

Chukulia Mfano vita ya Ukraine,
angalia jinsi USA na wenzake wanavohaha kuitafuta suluhu dhidi ya Russia baada ya mambo kuwaendea kombo vitani.

Imagine Russia ndio angelikua vita inamuelemea Kama alivoelemewa Ukraine. Hivi unadhan USA angetafuta suluhu?
 
Back
Top Bottom