Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7

Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7

Ukraine aliponzwa kwa kutegemea USA kaachwa alone.
Trump si mtu wa vita ye ni WA uchumi.
Vipi urusi China na north Korea wakiungana kumsapoti Iran ngoma itakuaje
Itakuwa vita ya 3 ya dunia, and that is exactly what is going to happen.

Russia na China wamewataka raia wao kuondoka Israel mara moja.

Iran walau kaonyesha kuwa mifumo ya ulinzi ya Israel na US inapenyeka.
 
Kwa nn Iran inashambuliwa na sio Misri, Pakistan au Iraq? Na kwa nn wakati huu? Umeshapata mda ukatafakari haya maswali?
Ni kwa sababu serikali yao sio puppet wa nchi za magharibi.

Btw, umeitaja Iraq.

2003 tuliambiwa hivyo hivyo…..silaha sijui za maangamizi.

Wakati huo tuliopinga vita tulizisikia hoja hizi hizi kama hii yako.

Hatimaye ikawaje? Unakumbuka au ulikuwa hata hujazaliwa?
 
'Tumedhibiti anga la Iran'...
Ukishaona hii kauli jua tayari vita imeisha
 
Naona Iran anapewa jina baya ili apigwe. Vipi na wafadhili wa Isis,Boko Haram,Al qaeda na hili kundi linalosumbua Mozambique yamefungwa na nani?
Kule Congo watu wanateseka lakini makundi ya kijeshi yanapata wapi silaha? Wafadhili wa M23 ni akina nani hasa? Tumeona Kule Mali,Bokina Faso n.k kwanini Ufaransa anayaganda hayo mataifa.

Kama ilivyokuwa agenda ya kututawala,vivyo hivyo hawa watu wana ajenda zao nyingine kabisa zaidi hasa kushika maeneo yote yenye hifadhi za nishati ili watawale dunia.
 
Ni kwa sababu serikali yao sio puppet wa nchi za magharibi.

Btw, umeitaja Iraq.

2003 tuliambiwa hivyo hivyo…..silaha sijui za maangamizi.

Wakati huo tuliopinga vita tulizisikia hoja hizi hizi kama hii yako.

Hatimaye ikawaje? Unakumbuka au ulikuwa hata hujazaliwa?
Sawa
 
Ilikuwa inasubiriwa hii point, kikao kinasema Iran ndo tishio... Iran haitaki kukaa mezani.... Iran haitaki kufuta kauli ya kuifuta Israel katika uso wa dunia...,swala la Iran kupigwa haikwepeki at this point..., hatoweza utawala wa iran utaenda kuangushwa na kuwekwa vibaraka wa kutoa rasilimali za Iran kwa western countries na kuwapigia magoti Israel... Wairan wanaenda kuteseka... Sijaona Russia na China kuisaidia Iran
 
Endelea kujidanganya,kama leo Iran imeshindwa kuvurumisha missile zake huoni kuwa yeye ndio ana hali mbaya
Mtu arusha makombora 300 yanayo lenga tageti ni mawili tu tena apartment za watu.....ni vile Iran hakuna uhuru wa vyombo vya habari na hakuna internet, laiti picha za Tehran zingerushwa....ndio ungejua kuachia acha yako uchi kwenye vita vya anga ni kujimaliza.
 
Hali ni tete, wanajitahidi kuificha, lakini haiwezekani tena. Imemlazimu Trump akatishe ziara yake huko Canada kwenda kuokoa jahazi.

​

Iran and Israel exchange missile strikes as Trump leaves G7 early​



​

Trump says G7 exit nothing to do with Israel-Iran ceasefire​


Tuesday 17 June 2025 07:59, UK


US President Donald Trump has rejected his French counterpart Emmanuel Macron’s claim that he left the G7 summit in Canada early in order to work on a ceasefire between Israel and Iran.

 
Ameshawashauri wa Iran kuuhama mji wa Teheran!
Sijui kuna nini kinafuata huko kwa Waajemi ambao wameapa kupigana mpaka tone la mwisho.
 
Write your reply...vyombo vingi vya magharibi haviongei ukweli kuhusu hali ilivyo israel ila ukweli inchi imebomolewa vibaya mno na kama wakiacha ipite week hakuna jengo lolote litakalobaki limesimama kwenye miji yote mikubwa ya tel aviv jerusalem na haifa
Sawa General wa jeshi la iran tumekuelewa
 
Lakini ni kweli Israel imechapika nimeona hhadi Netanyalu ametembelea baadhi ya maeneo ambayo yameathirika na makombora ya Iran.

Kuna muda inabidi tuongee tu ukweli
Kuchapika hayo majengo ya RAIA ambayo yatajengwa upya au kuchapika kijeshi?
 
Back
Top Bottom