Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
- Thread starter
- #141
Hebu weka takwimu tuone kama madai yako ni ya kweli…kitu usichofahamu ni kuwa kwa historia ya Marekani warepublican ni watu wa vita
Hebu weka takwimu tuone kama madai yako ni ya kweli…kitu usichofahamu ni kuwa kwa historia ya Marekani warepublican ni watu wa vita
😁😆Lakini ni kweli Israel imechapika nimeona hhadi Netanyalu ametembelea baadhi ya maeneo ambayo yameathirika na makombora ya Iran.
Kuna muda inabidi tuongee tu ukweli
Ni bora Netanyahu alivyofanya maamuzi magumu na kumuwahi Ayatollah mapema sana maana angechelewa kidogo tu Israel alikua na hali mbaya. Imagine Yale makombora ya ballistic yangekua na uwezo wa kubeba vichwa vya nyukliaPiga pigaaaa!!!! Kicha wa kidini hawezi kuachiwa amiliki nyuklia.... Iran imekua ikifadhili magaidi wa kiislamu kote, hii ndio kiama chao
I think you're wrong!Niamini mimi marekani hatotia mguu iran labda aendelee kumtumia israel ila ye mwenyewe kutoka front ni ngumu
Niamini mimiI think you're wrong!
Usa kuna wayahudi wana organization yao inaitwa IPAC wanahela balaa na wanaushawishi mkubwa kwasababu ya pesa zao ukiingia tu madarakani wakikufuata lazima ubadilishe malengo trump alikua anamsema biden kuhusu vita ya russia na ukraine akasema akiingia mdarakani hataki vita hila sasa hv yy ndio mstari wa mbele hao IPAC na ndio wanshikilia viwanda vya silaha kwahyo hili biashara ifanyike lazima vita itokee trump kabadilishwa akiliLicha ya kuwa pro America, hii vita haijaanzishwa na Iran.
Iran ndo victim hapa.
Yale yale ya 2003 yanataka kujirudia.
Na Trump naye ni mtu wa porojo.
Kapiga kampeni kuwa hapendi mavita lakini sasa Marekani inakaribia kujiingiza vitani chini ya utawala wake.
SMH!
We nyani tulia muajemi aoneshwe show si ameutaka?Nadhani uko sahihi!
Maskini Ayatollah ndo basi tena.
Ingekuwa ni Israel peke yake tu, angeweza ku survive.
Ila Marekani ikiingia…..ndo basi tena!!
Hayo masharti siwalisain na Obama mpaka wakapewa pesa baadhi na USA walizokua wamezishikilia, lakini Trump akayakataa makubaliano na kuyabunja 2018. Na kipindi hicho Iran alikua anarutubisha tu uranium kwa 20% Leo kafika 60% macho yanawatoka.Iran akiamua hii vita inaisha leo,afanye 2 things , aachane na nuclear program then aachane na nia yake ya kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, watamwacha na hakuna atakayemgusa na vikwazo vyote watamuondolea
Punguza ujuajiNiamini mimi
Muda utaongeaPunguza ujuaji
Unaropoka wewe tena unaropoka sana.Iran akiamua hii vita inaisha leo,afanye 2 things , aachane na nuclear program then aachane na nia yake ya kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, watamwacha na hakuna atakayemgusa na vikwazo vyote watamuondolea
Wa kuvunja tofali kichwani?Isipokuwa Makomandoo wa Mama!!
Sasa anapata faida gani? Sanctions na kipondo cha nguvu au kuna kingine?Unaropoka wewe tena unaropoka sana.
Mwaka 1980 Iran kipindi inavamiwa ilikua haina mpango wa nuclear Wala kuifuta Israel.
Na vikwazo akawekewa juu.
Iran ikipata kiongozi mpya ni mbaya zaidi kuliko ikibaki na viongozi wa sasa.Sasa anapata faida gani? Sanctions na kipondo cha nguvu au kuna kingine?
Mimi ni atheist wakristo na waislam kwangu wanafanana kwa kuuana kisa myth za wazungu na waarabu ila muislam ni hatari kwa amani ya dunia kwani myth yake inamtuma kuchukia na kuua wasioamin hizo hekaya za muarabu hence ugaidi.Mimi ni Mu Israel Tena ni Jews, ila sipendi umwagi wa damu na kupoteza uhai wa wasio hatia
Mimi ni atheist wakristo na waislam kwangu wanafanana kwa kuuana kisa myth za wazungu na waarabu ila muislam ni hatari kwa amani ya dunia kwani myth yake inamtuma kuchukia na kuua wasioamin hizo hekaya za muarabu hence ugaidi.Mimi ni Mu Israel Tena ni Jews, ila sipendi umwagi wa damu na kupoteza uhai wa wasio hatia
Dini ni nusu ya ukichaaa. Ukiona mtu kaendekeza u dini Kaa nae makini sana.. pamoja sana atheist 🔥Mimi ni atheist wakristo na waislam kwangu wanafanana kwa kuuana kisa myth za wazungu na waarabu ila muislam ni hatari kwa amani ya dunia kwani myth yake inamtuma kuchukia na kuua wasioamin hizo hekaya za muarabu hence ugaidi.
Sishabikii vifo vya wasio na hatia ila niwe mkweli nitashabikia vita yeyote yenye lengo la kumaliza ugaidi.
Mimi sina dini ila nina jina la kikristo ambalo kwa jina langu tu nikikutana na gaidi anaondoka na roho yangu.
Kwa hiyo ningekua na uwezo ningefutilia mbali haya makichaa ya dini dunia iwe salama bila kujali imani ya mtu 🙏
Toa ushahidi wa AYA kwenye QUR’AN inayomtaka Muislam kumuua asiyekuwa MuislamMimi ni atheist wakristo na waislam kwangu wanafanana kwa kuuana kisa myth za wazungu na waarabu ila muislam ni hatari kwa amani ya dunia kwani myth yake inamtuma kuchukia na kuua wasioamin hizo hekaya za muarabu hence ugaidi.
Sishabikii vifo vya wasio na hatia ila niwe mkweli nitashabikia vita yeyote yenye lengo la kumaliza ugaidi.
Mimi sina dini ila nina jina la kikristo ambalo kwa jina langu tu nikikutana na gaidi anaondoka na roho yangu.
Kwa hiyo ningekua na uwezo ningefutilia mbali haya makichaa ya dini dunia iwe salama bila kujali imani ya mtu 🙏
Sijawahi kuwa interested kusoma huo UCHAFU kiasi cha kuweza kukupa aya ya ku back up nilichoongea ila rafiki zangu wakiislam moja ya vitu wananiambia ni kuwa uislam wa kweli unakataza kuua mtu yeyote asiye na hatia awe muislam au sio muislam.Toa ushahidi wa AYA kwenye QUR’AN inayomtaka Muislam kumuua asiyekuwa Muislam
Akili za kuambiwa Changanya na zako.