Trump amekuta vita moja na sasa kameshaatengeneza 2Israeli peke yake ni mtupu kabisa,,lkn USA akiingiza miguu yote miwili kumsaidia Israeli,nawahakikishia vita ya tatu haitaepukika.
Trade war with rest of world
Iran israel war
Trump amekuta vita moja na sasa kameshaatengeneza 2Israeli peke yake ni mtupu kabisa,,lkn USA akiingiza miguu yote miwili kumsaidia Israeli,nawahakikishia vita ya tatu haitaepukika.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.Hauna ulijualo kakojoe ukalale
Uchumi wa Marekani unategemea sana vita.Kama israel ni mhim kuliko uchumi wa marekani aingie moja kwa moja kama wamarekani hawajamtoa white house
Sasa afanyaje walati watu wanamshambulia, mtu kaja uwani kwako na kisu, kavunja mlango utakaa tu kisa bado hujajua kareti, sasa hiyo kareti unaenda kujifunzia kaburini ama?
Iran ni nchi ndogo sana haiwezi kuleta vita vya tatu vya dunia.Israeli peke yake ni mtupu kabisa,,lkn USA akiingiza miguu yote miwili kumsaidia Israeli,nawahakikishia vita ya tatu haitaepukika.
Mimi ni Mu Israel Tena ni Jews, ila sipendi umwagi wa damu na kupoteza uhai wa wasio hatiaWoyooooo😃
In Trump I trust 💪🦾
God bless Israel🤸😎
Mkuu hapo kwenye bold inatakiwa iwe I CAN'T FIX STUPIDITY ama I CAN'T FIX A STUPID!At this point believe what you want to believe! I can’t fix stupid.
Hata nchi zilizosababisha vita ya pili zilikuwa ndogo kuliko hata Iran,,unajua njiti moja ya kiberiti yaweza unguza eneo kubwa???Iran ni nchi ndogo sana haiwezi kuleta vita vya tatu vya dunia.
Eeeh!! Kiboga 😄🤭🤭Kuna watu mna majibu mazuri sana.
Uko sahihi mkuu, mwanaume unavamiwa kisa huna silaha basi utulie tu uliwe kiboga.
Haiwezi kutokea sababu ya urusiWanaenda kuiharibu hiyo nchi kama walivyoiharibu Iraq.
Israel na US ndo threats kwa amani ya dunia!
Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada.
Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran.
Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena.
Maana hakuna mpinzani wa Marekani ikija kwenye mambo ya kijeshi [ukiacha makomandoo wa JWTZ 🤣].
Marekani ina makombora ya kuweza kubomoa mahandaki ya Iran yaliyoko chini sana ardhini.
Israel hana hizo bunker busters.
Hii pia ni ushahidi mwingine kuwa Israel bila Marekani hamna kitu kabisa.
View: https://x.com/breeadail/status/1934753492691812700
Niamini mimi marekani hatotia mguu iran labda aendelee kumtumia israel ila ye mwenyewe kutoka front ni ngumuHii ilipangwa muda Mrefu, MAREKANI amehamishia 30% of it's Spirit Bombers to the GUAM ISLAND mwanzoni mwaka huu kwa ajili ya hii shughuli. Trump ameondoka ghafla kwenye Mkutano wa G7 meaning he gonna declare war on Iran within 24 hrs
Kwa akili yako unaona umenikamata eh? 🤣🤣🤣Mkuu hapo kwenye bold inatakiwa iwe I CAN'T FIX STUPIDITY ama I CAN'T FIX A STUPID!
Upo hapo Mmarekani uchwara 👌🏿
Mkuu kweli upo Marekani au upo Nyarugusu ndani ndani huko unatupiga fix tu na sound kama mudi kwenye msaafu, hadith na sunnah?
adriz mshamba_hachekwi min -me Intelligent businessman Extrovert