Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7

Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7

Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena.
Baada ya Iraq na Afghanistan kuvamiwa nchi hizo zilivurugika kabisa mwishowe wavamizi wakaziacha kwa fedheha.

Ngoja tuone kwa Iran itakuaje.
 
Ukraine aliponzwa kwa kutegemea USA kaachwa alone.
Trump si mtu wa vita ye ni WA uchumi.
Vipi urusi China na north Korea wakiungana kumsapoti Iran ngoma itakuaje
China hawezi kusaidia nchi yoyote kijeshi dhidi ya Marekani, kwa kifupi hakuna nchi inataka vita dhidi US labda kama nchi imevamiwa yenyewe lakini si kusaidia nchi nyingine dhidi ya Marekani.
 
Piga pigaaaa!!!! Kicha wa kidini hawezi kuachiwa amiliki nyuklia.... Iran imekua ikifadhili magaidi wa kiislamu kote, hii ndio kiama chao
Sijui kama watu wana taarifa
Rais wa Syria wa sasa yupo katika ''Wanted list'' akiwa ni Kiongozi wa ISIS. Nchi iliyofadhili yeye kumuondoa Al-Asad ni Israel. Sasa kwanini mnasema Iran inafadhili magaidi na siyo Israel?

Mfadhili mkuu wa Alqaeda na Osama alikuwa ni CIA ya Marekani.

Hivi mnaishi dunia gani!
 
This is the only chance to remove Iran and its proxies as a threat to Israel and the US...
Mkuu MM
Hivi unaona hili ni jambo zuri!!

Iran: Haina silaha za nyuklia. 2003 Netanyahu alisema Iran ina wiki tu kabla ya kupata bomu.
2012 Netanyahu akasema Iran itapata bomu msimu mmoja (spring) unaofuata
2015 Neta akasema imebaki miezi 2 Iran inapata Bomu.
Yaani ni miaka 20 Iran inatakiwa kuwa na bomu kila wiki, uongo wa BB
Iran imesaini NPT na kujiondola last week, imekubali JCPOA kutoka US/EUROP

Israel
Ina silaha za Nyulia pale Damona ikikadiriwa vichwa 75-300
Israel haikutii sharti la UN ikaguliwe na Atomic Energy Org kama ilivyo resolution 487? kama sikosei
Israel haijasaini Non proliferation treaty (NPT)

Swali nani anatoa vibali vya kumiliki nyuklia, na kwanini Israel iwe navyo na siyo Iran

Proxies
Nani asiye na proxies? Jordan ni proxy wa Israel. Saudi ni Proxy wa US kwanini Iran isiwe nao?

Nani katengeneza proxies
Hezbollah wametengenezwa na Israel. Hamas wamesaidiwa na Israel miaka 20. Houthi ni matokeo ya Saud na US . Alqaeda wametengenezwa na CIA. Kipi mnachokiona cha ajabu?

Mkuu kama Russia kuvamia Ukraine ni kosa, uhalali wa Israel kuipiga Iran unatoka wapi?
Kama Russia kuivamia Ukraine ni kosa nani atamzuia China akiitaka Taiwan?
 
قَاتِلُوا الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَلَا بِالْيَوْمِ الْآخِرِ وَلَا يُحَرِّمُونَ مَا حَرَّمَ اللَّهُ وَرَسُولُهُ وَلَا يَدِينُونَ دِينَ الْحَقِّ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ حَتَّىٰ يُعْطُوا الْجِزْيَةَ عَن يَدٍ وَهُمْ
صَاغِرُونَ
qatiluu aladhin la yuminun bilah wala bialyawm alakhir wala yuharimun ma haram allah warasuluh wala yadinun din alhaqi min aladhin 'uwtuu alkitab hataa yuetuu aljizyat ean yad wahum saghiruna

(AT-TAWBA - 29)
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.

لَّقَدۡ كَانَ لَكُمۡ فِى رَسُولِ ٱللَّهِ أُسۡوَةٌ حَسَنَةٌ۬

“Hakika nyinyi mnacho kiigizo chema kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu.” [Al-Ahzab: 21]
سَتَجِدُونَ آخَرِينَ يُرِيدُونَ أَن يَأْمَنُوكُمْ وَيَأْمَنُوا قَوْمَهُمْ كُلَّ مَا رُدُّوا إِلَى الْفِتْنَةِ أُرْكِسُوا فِيهَا ۚ فَإِن لَّمْ يَعْتَزِلُوكُمْ وَيُلْقُوا إِلَيْكُمُ السَّلَمَ وَيَكُفُّوا أَيْدِيَهُمْ فَخُذُوهُمْ وَاقْتُلُوهُمْ حَيْثُ ثَقِفْتُمُوهُمْ ۚ وَأُولَـٰئِكُمْ جَعَلْنَا لَكُمْ عَلَيْهِمْ سُلْطَانًا مُّبِينًا

[ AN-NISAAI - 91 ]
Mtawakuta wengine wanataka wapate salama kwenu na salama kwa watu wao. Kila wakirudishwa kwenye fitna hudidimizwa humo. Ikiwa hawajitengi nanyi, na wakakuleteeni salama, na wakazuia mikono yao, basi wakamateni na wauweni popote mnapo wakuta. Na juu ya hao ndio tumekupeni hoja zilizo wazi.
 
Maria Nyedetse
 
Mkuu MM
Hivi unaona hili ni jambo zuri!!

Iran: Haina silaha za nyuklia. 2003 Netanyahu alisema Iran ina wiki tu kabla ya kupata bomu.
2012 Netanyahu akasema Iran itapata bomu msimu mmoja (spring) unaofuata
2015 Neta akasema imebaki miezi 2 Iran inapata Bomu.
Yaani ni miaka 20 Iran inatakiwa kuwa na bomu kila wiki, uongo wa BB
Iran imesaini NPT na kujiondola last week, imekubali JCPOA kutoka US/EUROP

Israel
Ina silaha za Nyulia pale Damona ikikadiriwa vichwa 75-300
Israel haikutii sharti la UN ikaguliwe na Atomic Energy Org kama ilivyo resolution 487? kama sikosei
Israel haijasaini Non proliferation treaty (NPT)

Swali nani anatoa vibali vya kumiliki nyuklia, na kwanini Israel iwe navyo na siyo Iran

Proxies
Nani asiye na proxies? Jordan ni proxy wa Israel. Saudi ni Proxy wa US kwanini Iran isiwe nao?

Nani katengeneza proxies
Hezbollah wametengenezwa na Israel. Hamas wamesaidiwa na Israel miaka 20. Houthi ni matokeo ya Saud na US . Alqaeda wametengenezwa na CIA. Kipi mnachokiona cha ajabu?

Mkuu kama Russia kuvamia Ukraine ni kosa, uhalali wa Israel kuipiga Iran unatoka wapi?
Kama Russia kuivamia Ukraine ni kosa nani atamzuia China akiitaka Taiwan?
Msikilize hapa toka 2002….

View: https://youtu.be/7632MxHXtYI?si=YTR3mOuL4Elqk0wj
 
Hiyo ni 2002 kabla ya baadhi ya Wachangiaji hawajazaliwa, halafu leo eti wanafahamu zaidi.
Msikilizeni BB anavyo articulate plan yake, huku Tanzania wanaamini Israel ni victim.

Hivi inadhuru nini kusema ukweli! Nani aje atetee hiyo video
Na hapo alikuwa anazungumzia WMDs za Iraq kabla ya uvamizi.

Mpaka leo hizo silaha hawajazipata na wakaishia kuiharibu nchi ya watu!

Wakati huo sisi tuliopinga huo uvamizi tulionekana hamnazo.

Na leo hii W. Bush anadharaulika tu. Colin Powell kafa na aibu ya kusema uongo!
 
Na hapo alikuwa anazungumzia WMDs za Iraq kabla ya uvamizi.

Mpaka leo hizo silaha hawajazipata na wakaishia kuiharibu nchi ya watu!
Collin Powell kabla hajafariki aliwaambi watu wake wa karibu '' majuto yake makuu Duniani ni ku testify uongo kuhusu WMD''.

Nyimbo zilikuwa hizi hizi kwamba Saddam ana fund proxies wa middle east. Wakamuondoa kwa mitutu hadi leo hakuna hata kilo moja ya WMD iliyowahi kupatikana. Aliyeingiza dunia na kuharibu Iraq ni BB Nyetanyahum ambaye anaaminisha Dunia yanayoendelea akiwa amekimbilia Greece

Kipigo kinahoteremka Tel Aviv na Haifa leo hii na actually sasa hivi, muasisi ni BB Nyahu. Baada ya 2003 ku testify kuhusu Iraq, akasema next ni Pakistan na Iran. Nchi hizo zikaanza kujiandaa zikujua ni next.

Kuna mwandishi wa gazeti la The Citizen Tanzania anaitwa Charles Makakala. Mwaka jana aliandika article akisema middle east ikubali mikataba yote na Israel ikiwemo Iran kwasababu Israel ni Super power hakuna wa kumsogelea. Well, leo wanapokea kichapo hakuna ubishi tena kwamba hakuna cha super power

Ndege za Israel zinashambulia kutoka Cyprus kwenye British Base zikisaidiwa na mipango ya US kupitia fleet zake zilizoko middle east. Iron Dome, David's sling na Arrow zikisadiwa na THAAD hakuna kitu

Tena Iran ina vikwazo miaka 45 lakini wamegeuza Tel Aviv na kuwa Gaza 2.0
 
Tena Iran ina vikwazo miaka 15 lakini wamegeuza Tel Aviv na kuwa Gaza 2.0
Hahaha Trump bana! Huyu hapa anamchana Liz Cheney na babake kwa kupenda vita…..

View: https://youtu.be/47_XcdW7A7A?si=m1tfwtIWU5gOBD7z

Hii hapa chini anamchana Obama kuwa ataanzisha vita na Iran ili achaguliwe tena [kwenye uchaguzi wa 2012].

You can’t make this up 🤣.

View: https://youtu.be/XTwcifOBarc?si=rZpJwKhq3hNvnzGK
 
Yupo katika wakati mgumu! hizo video angekuwa na uwezo angezipiga marufuku.
Kumbuka aliondoa askari Germany na Korea kwasababu '' tunalinda maeneo yasiyo na masilahi na Nchi yetu, America First'' sasa ana anzaje kuwambia Wamarekani wajiandae kuchukua ''viroba'' ya miili.

1. Tulsi Gabbard, Director of National Intelligence kasema Iran haina Nuke na hakuna maagizo ya Supreme Leader kutengeneza Silaha. Hii inathibitisha uongo wa BB Nyahu, 2003, 2012m 2015 kwamba Iran ina wiki chache za Uranium enrichment

Trump anajiuliza anakwenda kumpiga Iran kwa evidence gani.House na Senate zimegawanyika
Kuna influence kubwa kutoka kwa Senators au Reps ambao baadhi ni wa Israel. VP ni Israel

Mood ya population ni somo la 2003 la kupoteza askari na pesa, in the end , Trump anawakaribisha Taliban Camp David. Ni somo kwamba baada ya miaka 20 Afghanistan, US wamekabidhi Talibani.

2. Kutokana na ubabe wake '' America can do it alone'' kama hotuba ya VP katika Munich security council alivyowabagaza EU , Trump amebaki na UK! Wengine ni kama wana msusia na Trump anaogopa kushindwa
 
Qur’an 8:61 inasema "Na wakielekea kuacha vita na wakapendelea kuishi kwa amani na nyinyi, basi nawe elekea huko, ewe Nabii, na uyategemeze mambo yako kwa Mwenyezi Mungu na uwe na imani na Yeye. Hakika Yeye Ndiye Mwenye kuyasikia maneno yao, Mwenye kuzijua nia zao."

Qur’aan 60:8 inasema "Mwenyezi Mungu Hawakatazi nyinyi, enyi Waumini, kuwakirimu kwa wema makafiri ambao hawakuwapiga nyinyi vita kwa ajili ya dini wala hawakuwatoa kutoka majumbani mwenu, na kuwafanyia usawa kwa hisani yenu na wema wenu kwao, kwani Mwenyezi Mungu Anawapenda wale wanaofanya uadilifu katika maneno yao na matendo yao."

Qur’an 2:190 inasema "Na piganeni, enyi Waumini, ili kuinusuru dini ya Mwenyezi Mungu, na wale wanaopigana na nyinyi, wala msifanye yaliyokatazwa ya kukatakata viungo, kufanya hiyana (ya kuchukua kitu katika ngawira kabla ya kugawanywa), kumuua asiyefaa kuuawa miongoni mwa wanawake, watoto, wazee na wanaoingia kwenye hukumu yao. Hakika Mwenyezi Mungu Hawapendi wale wanaokiuka mipaka Yake na kuyahalalisha yalioharamishwa na Mewnyezi Mungu na Mtume Wake."

Maana yake nini;

Aya uliyoitaja ambayo inawataka waislam kuwapiga wasiokuwa waislam ni aya ambayo inawahusu wale wanaowapiga vita waislam, kuwaua na kuwatoa kwenye majumba au miji yao na kuwadhulumu mali na heshima yao. Hivyo wameamrisha kupigana nao bila kuzidisha na kufanya ufisadi.

Tuache kupandikiza Chuki ambazo hazina kichwa wala miguu. Uislam ni dini ambayo imelinda haki za kila kundi hata wasiowaislam.

Fuatilia hata historia Waislam walipoingia kwenye maeneo ambayo awali yalikuwa chini ya wasio waislam kama Jerusalem [kukombolewa kwa msikiti wa Al Aqsa, hata walivyoingia Ulaya kama Spain], Je waliwaua waisiokuwa Waislam? Hapana, waliishi nao kwa wema bila uadui. Linganisha na CRUSADER walipoingia maeneo kama Jerusalem na kuwatoa Waislam walifanya nini kwa Waislam, utakuta ni MAUAJI YA KUTISHA!!!

Uislam ni dini pekee iliyolinda haki za watu wote meaning WAISLAM NA WASIO WAISLAM. TAFUTA KWENYE MAANDIKO, HISTORIA wakati wote wa Dolar za Kiislam [Khilafa] hutokuta mauaji ya wasio waislam kwa sababu ya kutokuwa kwao Wailam!!! Achana na vikundi vilivyopotoka vya kikhawariji ambavyo hata uongozi tu wa sawasawa havina.

Lakini njoo upande wa pili utakutana na ya kutisha.
 
na vigundi vya magaidi na wahamiaji wageni wanaoishi marekani pamoja na trrrorist vikundi vya kigaidi..

Kwa wanaofuatilia habari za ufunuo wa DANIEL wanafahamu hii script ,US inakwenda kuangushwa na US dollar inakwenda kuanguka...RUSSIA+CHINA zinakwenda kuinuka...

na Vita vya tatu vya dunia vinakwenda kuanza kati ya makundi haya makuu manne
1)kundi la kwanza URUSI USSR itaungana na UKRAINE,+ CHINA +KOREA ASIA na North africa

kundi pa pili
2)USA NATO na South africa

3)kundi la tatu ambalo ni dhaifu hakina silaha ambalo litakuwa linajificha na kujihaminna vita vya wenyewe(EAST AFRICA +WEST AFRICA)

4)Kundi la nne ni ISRAEL ambayo haitapigana hii vita vya hermageddon

baada ya hii vita MPINGA KRISTO ataibuka

atakuja na suluhisho la NWO,akisaidina na nabii wa uongo na mnyama,akisaidiana na reptilian manefil nephilim na IA robots

Vita vya magogu mataifa yote yataungana kumshambulia ISRAEL KILA PANDE...

baada ya vita vya 3 vya dunia mataifa yote yataungana kumshambulia ISRAEL KUTOKA KILA PANDE KILA KONA
 
Back
Top Bottom