Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Pengine ndo moja ya sababu Marekani imeamua kuingilia [kwa kisingizio kwamba Iran imeshambulia maslahi yake]…..Write your reply...vyombo vingi vya magharibi haviongei ukweli kuhusu hali ilivyo israel ila ukweli inchi imebomolewa vibaya mno na kama wakiacha ipite week hakuna jengo lolote litakalobaki limesimama kwenye miji yote mikubwa ya tel aviv jerusalem na haifa
Endelea kujidanganya,kama leo Iran imeshindwa kuvurumisha missile zake huoni kuwa yeye ndio ana hali mbayaWrite your reply...vyombo vingi vya magharibi haviongei ukweli kuhusu hali ilivyo israel ila ukweli inchi imebomolewa vibaya mno na kama wakiacha ipite week hakuna jengo lolote litakalobaki limesimama kwenye miji yote mikubwa ya tel aviv jerusalem na haifa
Licha ya kuwa pro America, hii vita haijaanzishwa na Iran.
Iran ndo victim hapa.
Yale yale ya 2003 yanataka kujirudia.
Na Trump naye ni mtu wa porojo.
Kapiga kampeni kuwa hapendi mavita lakini sasa Marekani inakaribia kujiingiza vitani chini ya utawala wake.
SMH!
Iran angekuwa mjanja angejitengeneza kwanza kiuchumi,kijasusi na kijeshi kwa mapana yake sio kutegemea ballistic missile peke yake ndio utegemee utamshinda Israel au Marekani. Baadae ndio aanze mambo ya nuclear.Moja ya sababu ya Trump kurudi madarakani ni kwa sababu ya hzi mambo , Wanahtaji mtu aggressive , israel hajaipiga iran kwa kukurupuka , ramani imechorwa mapema , mimi simlaumu iran mana kwa kweli hana option nyingine zaidi ya liwalo na liwe , kuja wakat mambo yanapokuwa magumu kama mwanaume inabd ukubaliane na hali
Uwezo huo anautoa wapi, ushaona leo kavurumisha yale makombora yake kwa fujo kama jana na juzi?Ilitakiwa Iran akafute haraka sana kabla maboss zake kuingia.
Moja ya sababu ya Trump kurudi madarakani ni kuivamia Iran? Au sijakuelewa?Moja ya sababu ya Trump kurudi madarakani ni kwa sababu ya hzi mambo , Wanahtaji mtu aggressive , israel hajaipiga iran kwa kukurupuka , ramani imechorwa mapema , mimi simlaumu iran mana kwa kweli hana option nyingine zaidi ya liwalo na liwe , kuja wakat mambo yanapokuwa magumu kama mwanaume inabd ukubaliane na hali
Ukraine aliponzwa kwa kutegemea USA kaachwa alone.Iran angekuwa mjanja angejitengeneza kwanza kiuchumi,kijasusi na kijeshi kwa mapana yake sio kutegemea ballistic missile peke yake ndio utegemee utamshinda Israel au Marekani. Baadae ndio aanze mambo ya nuclear.
Anapiga kwa stepUwezo huo anautoa wapi, ushaona leo kavurumisha yale makombora yake kwa fujo kama jana na juzi?
USA ni underdog tu wa Israel kwa kila kitu.Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada.
Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran.
Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena.
Maana hakuna mpinzani wa Marekani ikija kwenye mambo ya kijeshi [ukiacha makomandoo wa JWTZ 🤣].
Marekani ina makombora ya kuweza kubomoa mahandaki ya Iran yaliyoko chini sana ardhini.
Israel hana hizo bunker busters.
Hii pia ni ushahidi mwingine kuwa Israel bila Marekani hamna kitu kabisa.
View: https://x.com/breeadail/status/1934753492691812700
Hakuna mwenye uthubutu huoUkraine aliponzwa kwa kutegemea USA kaachwa alone.
Trump si mtu wa vita ye ni WA uchumi.
Vipi urusi China na north Korea wakiungana kumsapoti Iran ngoma itakuaje
Amini unachotaka.USA ni underdog tu wa Israel wa kila kitu kwa Israel.
Kwanini USA ijifiche nyuma ya kichaka cha kuisaidia Israel kivita ikiwa iko vizuri kidiplomasia, kiuchumi, kiteknolojia, kimbinu na hata kiintelejesia?
USA inaogopa nini haswa ambacho Myahudi haogopi hadi kila siku Israel kuwa na mwendelezo wa vita hata kabla Babu na Bibi zako hawajazaliwa?
Punguza mahaba kwa USA mtumwa wa kale (mmarekani wa sasa).
By the way, kwanini ngozi nyeusi za USA huwa mnajiona mna upekee sana wa ubora hadi mbague ngozi nyeusi wenzenu toka mabara mengine kuliko races zingine huko USA?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.