Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7

The sameway marekan bila Israel hakuna kitu. Maana kama mifumo na idara zote muhim wanashikilia jews kuna nini tena
 
Amini unachotaka.

Uchumi wa dola trilioni 30 unasema unaendeshwa na uchumi wa dola bilioni 500? Really?

At this point believe what you want to believe! I can’t fix stupid.
Umejaa upepo mapema sana, si dalili nzuri kwa Mtu anayejenga hoja kwa mjadala wowote, kwani nawe ni jinsi ile ambayo hutumia sana hisia kuliko akili kimaamuzi? Kua kiakili si kimihemuko.

Utumwa mwingine ulionao ni matumizi ya lugha ya Mabeberu ilihali uliyeninukuu nimekuuliza kwa Kiswahili na umenielewa, huo ni ushamba.

Acha kujipendekeza kwenye lugha za Mabeberu we Msukuma wa Ushirombo.

Kuna ulazima upi USA awe na ushirika wa kila ishu na Israel ikiwa ana ukwasi wote huo?
Mataifa mangapi yana ushirikiano na USA lakini kwanini Israel ndiyo iwe kipaumbele zaidi kwa USA na si nchi zingine?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Vita ni yao na imeanzishwa na wao kwa kivuli cha nchi yao kivuli ya israel
 
Why the ad hominem attacks?

Yaani hoja zako zote ni mimi tu. Mara sijui utumwa, mara sijui lugha nayotumia, n.k.

Hadi kufikia sasa ushaniota usiku mara ngapi wewe?

Kama una homoerotic fantasies kunihusu mimi, umekosea njia aisee.

Tafuta wenzio unaofanana nao kimwelekeo and work on your inferiority complex. That can be fixed.

Weirdo.
 
The sameway marekan bila Israel hakuna kitu. Maana kama mifumo na idara zote muhim wanashikilia jews kuna nini tena
Hamna kitu humo Mkuu, anatupigia kelele kila siku ilihali kiuhalisia ni mahaba niue tu ndiyo yanayomtesa moyoni.
Anashindwa kuelewa mtaji wa ishu yoyote kimafanikio ni maarifa wala si mahela yake anayozungumzia, inamaana Israel ndiyo inapendwa saaana na USA pasipo chochote anachonufaika USA toka kwa Israel?

Sana sana atakuja kukujibu na kiingereza chake cha hapa na pale bila kujua anazidi kujiweka uchi hadharani alivyo mwepesi kuyakinisha hoja kwa majibu ya uhakika.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Umeingia kwenye mtumbwi wa vibwengo, hakuna hoja uliyopangua hata moja, haya kakojoe kisha urudi kulala Mtoto mzuri.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
This is the only chance to remove Iran and its proxies as a threat to Israel and the US...
 
This is the only chance to remove Iran and its proxies as a threat to Israel and the US...
 
Umeingia kwenye mtumbwi wa vibwengo, hakuna hoja uliyopangua hata moja, haya kakojoe kisha urudi kulala Mtoto mzuri.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
🤣.

Zaidi ya kunishambulia binafsi yangu, wewe umetoa hoja gani?

Punguza hashuo hizo.

Unaumia nini unapoona naandika kwa lugha ninayoitaka?

Nawe unatamani ungekuwa na uwezo huo eh? Kwa vile huna, unaishia kukereka, kununa, kutukana, na kushikwa na fundo kooni!

Al junun funun 🤣.
 
Sasa wewe umejuaje? Tupe sasa sources nyingine. Mambo ya ikipita wiki moja, mwenzako anaomba poo
 
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Marekani tayari ameshasema.

Hili lilikuwa suala la muda tu, maana Netanyahu alushaomba na naamini ilikuwa sehemu ya Mpango na inawezekana hata madai ya ubalozi wa Marekani Tel Aviv kushambuliwa na Iran 🇮🇷 ni staged to get the AMERIAN involved as soon as possible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…