Kuna Kila Dalili Mbowe akawa Rais wa Tanganyika(TZ) 2025, jela Tu ndo itamzuia

Ukitaka kugombea kiti cha uraisi basi hakikisha unakutwa na mikasa hapo kupewa kiti ni rahisi mno...kule huwa hawaandai wagombea ila itategemea na upepo tuu..

NB Siyafurahii matatizo anayoyapitia Chairman, namuombea kwa namna atakayoitaka yeye kesi iishe.
 
Kawadanganye walevi wenzio wa kusujudu na kuabudu ili mradi umepata mkate wako wakila siku.

Habari za Mbowe huzijui na hutozijua kamwe.
 
Nadhani wewe ni mushuti wa kule Ngara.
 
Niliyemnukuu marc alpho kaandika kuwa
"Kama CDM watamsimisha Mbowe kama mgombea 2025 uchaguzi utakuwa ngumu, Labda wafanye makosa tena wamsimamishe LISSU".

Narudia swali langu kwake tena; mbowe anaweza kuwa mgombea bora kuliko lisu?!

Maoni yako kama m@vi kama alivyosema mzee baba. Kila mtu ana yake.

Uzuri zaidi ni kuwa kura katika nchi zote huwa zina haki sawa.
 
Ni ndoto za alinacha cha pombe kuwa raisi labda uraisi wa mtaa wa ufipa [emoji23][emoji1787]
 
Kurisk kuwapa uongozi hao watu ni hatari,Kuna mmoja alikua Waziri wa fedha,kabila lake likajaa tra,bandari nk,mpaka watakapostaarabika watapata madaraka

Unaweza kuwa na hoja mjomba kwa maana kulikuwa na mmoja aliwahi kuwa rais kutokea kanda fulani basi kila post nyeti ilikuwa ya watu kutokea huko.

Inasemekana hata alipokuja mzanzibari ajira JMT inabidi ziwe 21% tokea Zenji kwenye 1.5m tu na hata raslimali nyingi zilipelekwa huko.
 
Wachache na wenye akili kubwa ndiyo watakao kuelewa
 
Hii nchi haipaswi tena kuongozwa na makabila makubwa kama Wahaya, Wachaga, Wasukuma, Wanyakyusa nk nafikiri somo tumeshalipata..

Bora vikabila vidogo vidogo viendelee kutawala na ikiwezekana dip system itengeneze maelfu ya watu kutoka hivyo vikabila kuliko nchi kushikwa na hizi giants..
 
Wachache na wenye akili kubwa ndiyo watakao kuelewa

Badala ya kujiunga na upande wenye kudai katiba madhubuti kama muarobaini lakini sasa viroboto, wahuni na matapeli wanatumia nini kufikiria?!
 
Painful lakini ni kweli tupu.
 
Badala ya kujiunga na upande wenye kudai katiba madhubuti kama muarobaini lakini sasa viroboto, wahuni na matapeli wanatumia nini kufikiria?!
Bado wapo kwenye hangover ya msiba wa malaika wao
 
Tatizo si ukubwa wa makabila. Wanaweza wakaungana na wakashika nchi milele kwa zamu. Kikubwa ni aina za makabila na mila zao. WAnajulikana mbona?
 
Kwani mtashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 bila Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi? 🙄
 

Kwa hicho unachokijua wewe tukichukulie ni sahihi na ndiyo kuwa imetoka (yaani final and terminate) mjomba? Hutupi hata nafasi ya kutuambia ubora au ufyongo wako binafsi bali unapuyanga tu kama huna akili nzuri tu?

Kwani wewe ni nani hasa? Kwanini hata udhani kuna anayeweza kukupa umuhimu wowote? Hata kama ungekuwa mkewe mbona bado tungependa kujua kama wewe ni almighty?

Kwani kuna binadamu anayeaminika? Si unamwona aliyemwaminisha hadi Bulembo kuwa yeye ni mzalendo kweri kweri kumbe tapeli baba lao:



Kama wewe si almighty huoni umuhimu wa uhuru, haki na kuaminika kwa sanduku la kura viroboto, wahuni na matapeli nyie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…