Kuna Kila Dalili Mbowe akawa Rais wa Tanganyika(TZ) 2025, jela Tu ndo itamzuia

Unachoelezwa ni kweli mbowe siyo mpinzani ni ccm aliyepewa majukumu kuua upinzani i.e. mrema,silaa,n.k. wenye akili tu ndiyo wataelewa hili
 
Style aliyokuwa anatumia Magufuli kuongoza Nchi ndio hiyo anatumia Mbowe kuongoza CDM,style ya one man show-ndio maana baada ya yeye kukamatwa kila kitu kuhusu vuguvugu la Katiba kimekufa.Maana yake Mipango yote na utekelezaji wake ulikuwa unamtegemea yeye kama Magufuli alivyokuwa anafanya pasipo kutambua kuna kifo,ugonjwa na ajali.

Style za uongozi wa namna hiyo imeshwa pitwa na wakati,uongozi inatakiwa kuwa shirikishi-na wengine wanaofanya hivi ni Madikiteta.
 
Unachoelezwa ni kweli mbowe siyo mpinzani ni ccm aliyepewa majukumu kuua upinzani i.e. mrema,silaa,n.k. wenye akili tu ndiyo wataelewa hili

Anayeeleza hayo wewe hushangai kwanini haanzi kwa kujitambulisha wazi wazi na hasa kujieleza alikowapeleka kina Ben, Azory, Lijenje, Malema, Urio na wenzao?

Au wala kuainisha ni kina nani waliowasokomezea kwenye viroba?

Au hata katika zile risasi za Lissu zake alizofyatua zilikuwa ngapi?

Wenye akili tu ndiyo wanaweza kuelewa haya!
 
Umekunywa pombe gani wewe? 2025 tunakwenda na ACT wazalendo kidogo kuna watu wenye akili. Hatuwezi kusahau alivyoiuza UKAWA 2015.
 

Mkuu wewe bila shaka utakuwa una style bora kabisa na utakuwa umefaulu kweri kweri kuliko hao unaojinasibu kuwananga hapo.

Unapatikana anga za wapi "self made role model wewe 😁😁?"
 
Mungu ibariki CHADEMA..
 
Urais hautolewi kama pole kwa mtu aliyekaa jela
"Aiseee, wa donge, wa kisiwa ndui, aje wa mwanakwerekwe afu aje wa kibanda maiti, michenzani, miembeni. Aaah aje wa wete, wa nchamba wima... URAIS HAUENDI HIVYO, URAIS SI ASALI KWAMBA KILA MTU AONJE..." SALMIN AMOUR KOMANDOO.
 
Hawezi kuwa Rais labda kama nchi haina usalama wa taifa, yaan mbowe aongoze nchi?huu utani kabisa, Kama mtu chama chake tu kakifanya kama biashra yake yaan yeye ndo kila kitu alafu umpe urais!! Litakua kosa kubwa kuwahi kufanyika nchi hii
 
Waachane Watanzania wachague wenyewe. Kama hawapendi Wachagga, kura zitajieleza zenyewe. Siyo kundi la watu la wana-CCM watuchagulie Rais kwa msaada wa polisi. Tunastahili heshima yetu kama Watanzania wa kawaida.
 
Waachane Watanzania wachague wenyewe. Kama hawapendi Wachagga, kura zitajieleza zenyewe. Siyo kundi la watu la wana-CCM watuchagulie Rais kwa msaada wa polisi. Tunastahili heshima yetu kama Watanzania wa kawaida.
Na hii ndiyo inawafanya mifumo isiwakubali kwa sababu hamna weledi wa kuongoza nchi. Nchi haiongozwi kiholela. Watu wanachagua miongoni mwa feasible canidates, na si kila mtu hovyo hovyo kama unavyomaanisha hapa. Watanzania ni pamoja na mimi. Na wala mimi si ccm lakini tuna serikali inayopashwa kusimamia mifumo yote.

Huwezi kuacha watu holela hata wasikuwa na sfa wagombee uongozi na ndiyo sababu kuna michujokabla mpendekezwa hajakubalika kwenda kupigiwa kura. Hatutaki vyama vy akikabila wa avya kidini ama vya itikadi moja ya tabia kama mashoga, umoja wa waganga, wachawi n.k.

Ccm ni zimwi kwa Tanzania, lakini kuliko kujikabidhi kwa kabila lenye wezi na hila kama wachaga, bora zimwi ccm ambalo angalau linawatu wenye sauti kutoka sehemu zote za nchi. Hata wewe unaona. Japo ccm ni majambazi kweli hilo liko dhahiri, na hakuna mtu anawapenda, na wana sura nyingi za hovyo kama ufisadi, ulaghai n.k, lakini angalau unaona wanadhibitiana ndani kwa ndani, wanaonyana, ingawa wanaaogopana hata kuachiana glass za maji, na ingawa hawaheshimiani.

Lakini vyama vyenu hivyo vingine, vinahitaji marekebisho makubwa ili angalau watu wawe na moyo wa kujikabidhi kwenu. Mfano, nenda ACT na CHADEMA, CUF n.k, kuna nani mwenye nguvu anayeweza kusimama kinyume na wakuu wao ama makundi yanayowaung amkono wakuu wao na bado akaonekana kuwa sawa?

Unataka huo mfumo wa kuwaogopa wachaga au viongzi wakuu wa chama uwe ndio serikali?

Hapana. Hatukubali sisi Watanzania wa kawaida.
 
Hata Kamuzu Banda, Lungu, Moi, Ghadaffi... waliwahi kusema hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…