Tanzania patakuwa mahali pabaya pa kuishi kama Mbowe atakuwa Rais. Nenda kaangalie historia yake kwenye familia ya Mzee Aikaeli Mbowe, utagundua kuwa amehodhi urithi wote peke yake na familia yake.
Nenda kamuangalie anavyoendesha CHADEMA, utagundua ni kama duka lake binafsi. Yeye ndiye anachagua wachagga wenzie kuwapa viti maalum including mahawara zake. Yeye hakubali uchaguzi wa kugombea kiti cha Mwenyekiti kuanzia alipochukua kwa Bob Makani mwaka 2003.
Freeman Mbowe ndiye anaiuzia magari mabovu CHADEMA na hakuna wa kumhoji. Kifupi Mbowe atakuwa DIKTETA mbaya kuliko Magufuli
Sipendi kuwabagua watu kabisa ila ndugu zetu wachaga na wahaya aisee.
Mara paaap ndo mchaga rais? hiyo kazi mtaiona[emoji1787][emoji1787]
Kama marekan Biden kaingia na 70+ maana yake Hakuna ajabu hapo
Unahamisha magoli baada ya kupokea knuckles!!
Wewe haujawahi kujadili hoja, as long as CCM inahusishwa sehemu ni lazima utaenda na mipasho tu.
Mpaka kufikia 2015 CCM ilikuwa imeshajifia kiasi kwamba watu waliojaribu hâta kuvaa nguo za ukada walizomewa, ponapona ya CCM ilikuwa ni kumsimamisha Magufuli kwakuwa watu walikuwa na matarajio makubwa kwake kutokana na record zake nyuma japo nae aliharibu kwa kiasi chake.
Sio swala gumu kuona kwamba kuna baadhi ya watu (raia) waliokuwa ni mitaji ya CCM wakati uke ila kwasasa wameitegea mgongo, hii CCM kiuhalisia haina nguvu tena uraiani kwakua wananchi wengi walimpenda mtu na sio chama. Huyu aliyepo kwenye kiti hana nguvu yoyote ya ushawishi.
Kama CDM watamsimisha Mbowe kama mgombea 2025 uchaguzi utakuwa ngumu, Labda wafanye makosa tena wamsimamishe LISSU.
Kama kuwa Rais wa Magaidi Tanganyika sawa.Ukipita huku mtaani watu wanashauku sana na uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi wa kimkakati, Kati ya chadema na Ccm.
Kama hakutakuwa na uwizi wa kura na magumashi basi mpambano utakuwa mkali kuliko ule wa magufuli na lowasa.
Ni mpambano uliojificha ndani ya migogoro ya muungano, watu moyoni wanalao Jambo, matatizo ya muungano ndo yatakayoamua nani awe Rais wa Tanganyika(TZ), ikiruhusiwa mikutano ya siasa basi Zanzibar uru inaweza kupatikana 2025.
Navyoona utakuwa ni mpambano Kati ya Samia na Mbowe.
Tunaomba Mikutano iruhusiwe na kesi zifutwe Ili tuanze kupambana mapema kuelekea 2025.
Lazma watanzania wa Bata na Zanzibar msiruhusu Dola kuiba uchaguzi Ili tumpate Rais halali na anayependwa na wengi
Ukiona unaota ndoto za mchana kila wakati ujue karibu utakuwa chiziPole mkuu Mbowe ndiyo rais wa tanganyika huru ajaye
Kuwabagua watu kwa tabia yao ya ukabila ni ukabila pia
Unakua ni kwa kiasi gani Zanzibar imekosa haki yake kwenye keki ya muungano!?..inajua lipi la muungano lipi siyo!?Unaweza kuwa na hoja mjomba kwa maana kulikuwa na mmoja aliwahi kuwa rais kutokea kanda fulani basi kila post nyeti ilikuwa ya watu kutokea huko.
Inasemekana hata alipokuja mzanzibari ajira JMT inabidi ziwe 21% tokea Zenji kwenye 1.5m tu na hata raslimali nyingi zilipelekwa huko.
Utaendelea kulinda mizimu hadi utastukia tushaingia kwenye Tanganyika huruUkiona unaota ndoto za mchana kila wakati ujue karibu utakuwa chizi
Uzuri wa kiongozi haupimwi kwa kujengwa hoja jukwaani,Hilo hata polepole anaweza,uzuri wa kiongozi unapimwa kwa unafuu wa maisha kwa watu wake anaowaongoza na utu waoNyerere alikuwa na hoja zake ambazo ni za msingi.
"Umuhimu wa kabila kwenye matambiko."
"Hoja haipigwi rungu."
"Nchi huongozwa kwa kuheshimu katiba.'
"Ukiambiwa la kipumbavu ukakubali .."
.
.
.
Yako innumerable.
Nyerere hakuwa mtupu.
Kiongozi gani huna hata cha thamani cha kukumbukwa nacho?
Au "kila mtu na abakie na m@vi yake?"
John alikuwa hajui umri wake huyoNdoto yako ikitimia Mbowe ndio atakuwa Rais alieingia madarakani kwa mara ya kwanza akiwa Kikongwe zaid
Julius aliingia akiwa na 40
Ally aliingia akiwa na 60
Benja akiwa na 58
Jakaya akiwa na 55
John akiwa na 56
Samia akiwa na 61
Uzuri wa kiongozi haupimwi kwa kujengwa hoja jukwaani,Hilo hata polepole anaweza,uzuri wa kiongozi unapimwa kwa unafuu wa maisha kwa watu wake anaowaongoza na utu wao
Ukipita huku mtaani watu wanashauku sana na uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi wa kimkakati, Kati ya chadema na Ccm.
Kama hakutakuwa na uwizi wa kura na magumashi basi mpambano utakuwa mkali kuliko ule wa magufuli na lowasa.
Ni mpambano uliojificha ndani ya migogoro ya muungano, watu moyoni wanalao Jambo, matatizo ya muungano ndo yatakayoamua nani awe Rais wa Tanganyika(TZ), ikiruhusiwa mikutano ya siasa basi Zanzibar uru inaweza kupatikana 2025.
Navyoona utakuwa ni mpambano Kati ya Samia na Mbowe.
Tunaomba Mikutano iruhusiwe na kesi zifutwe Ili tuanze kupambana mapema kuelekea 2025.
Lazma watanzania wa Bata na Zanzibar msiruhusu Dola kuiba uchaguzi Ili tumpate Rais halali na anayependwa na wengi
Sera nzuri hazihitaji hoja Bali fikraUzuri wa kiongozi unapimwa kwa hoja. Tunashindana kwa hoja. Sera ni hoja.
Bila hoja kwenye siasa ndugu zako hawa hapa:
View attachment 2048865
View attachment 2048867
Kama migambo wanaruka na kukanyagana.
Hawafai!
Kauli kama hizi ndio haswa nilizozielezea kwamba zinaleta uhasama bila sababu.Hatuwezi ONGOZWA na WACHAGA mzee, nendeni mkaambizane this DECEMBER mbwa nyie.
Mbwa nyie, hatotokea mchaga atawale. Na ww nakuambia NJOO hapa UHASIBU utanikuta.Kauli kama hizi ndio haswa nilizozielezea kwamba zinaleta uhasama bila sababu.
MBWA MWENYEWE..aliyekuambia mimi mchagga ni nani [emoji15] Na utatawaliwa na mchagga tu..penda usipende
Ungekuwa karibu ningeondoka na hiyo shingo...nyumbu kasoro mkia.
Sera nzuri hazihitaji hoja Bali fikra