Uchaguzi 2020 Kuna kila dalili Membe kumuunga mkono Lissu iwapo atapitishwa

"Sijiungi upinzani kutafuta uongozi bali kushirikiana na wapinzani wa kweli kulinda demokrasia na kuleta mabadiliko, haki, utawala bora unaofuata sheria. Tundu Lissu akipitishwa nitashirikiana nae na viongozi wengine katika uchaguzi”
There you have it!

Sasa kunja shati, kazi ya kweli kweli ianze.

Hapa si lelemama, itakuwa kazi ngumu, lakini kazi inayowezekana.

Wananchi wakiwaelewa, jasho lenu watalifuta na kuwaweka kwenye historia ya nchi yetu.

KAZI NA IANZE, KWANI MUDA NI MCHACHE.
 
Tukijifariji wewe unapata maumivu gani?
Hivi mkuu'Sky' huoni anavyoumia huyo uliyemjibu hapo? Hebu msome vizuri umwelewe...

Wengi sana wa upande huo wanaumia ndani kwa ndani, kama haya yanayojitokeza yatatokea kweli kwani yatabadili mwelekeo kabisa.

Matumaini yao yatabaki tu kwenye kuvuruga uchaguzi, basi.
 
Wewe jamaa nilishashindwa kukuelewa. Hivi uko upande gani ccm au upinzani? CHADEMA walio wengi wanamtaka Lisu ila wewe huishiwi ngojera za kumpinga Lisu.
Huyo ni 'popo', sio ndege wala mnyama.

Lakini huenda ukafanikiwa kujua kama ni mnyama au ndege, kama utamwingiza Dr. Muhogo kwenye upande wowote kati ya pande hizo mbili (Wapinzani vs CCM)
 
Ni vigezo vipi ulivyovitumia kuhitimisha Nyalandu kajipanga kuliko Lissu hasa ukitilia maanani lissu hayuko nchini kwa karibu miaka mitatu!?
Mkuu pilika pilika za Nyalandu zinajieleza, vile anavyozunguka mikoani kutafuta wadhamini... anaonekana ni mtu aliepani.

Tofauti na Lissu, ambae hajaanza hata moja na hatujui serikali itamchulikuaje atakavyofika.
 
Sasa angalia mawazo kama haya.

Tanzania inaingia kwenye uchaguzi kwa utashi wa Magufuli?
 
Nyalandu huyu huyu aliyekuwa akivinjari na akina anti Ezekieli Ulaya wakati akiwa Waziri wa maliasili??
Lakini ni mwanachama halali wa Chadema na amechukua fomu ya kuomba kugombea Urais, Sijui utafanyaje akiteuliwa na Chama kupeperusha bendera ya Chadema.
 
Sasa angalia mawazo kama haya.

Tanzania inaingia kwenye uchaguzi kwa utashi wa Magufuli?
Tunawafahamu na tunazifahamu siasa za Tanzania.

Sema mnaujasiri sana nyuma ya keyboard...
 
Kwa hiyo haikuwa sawa kuonyesha kwamba Nyalandu kajipanga kuliko Lissu huku ukijua lissu hayuko nchini.

Ndiyo akirudi anaweza kukamatwa kwa UONEVU na UDIKTETA tu lakini hastahili kukamatwa kwa lolote lile hana kosa zaidi ya makosa FAKE wanayotaka kumbambikia.

Mkuu pilika pilika za Nyalandu zinajieleza, vile anavyozunguka mikoani kutafuta wadhamini... anaonekana ni mtu aliepani.

Tofauti na Lissu, ambae hajaanza hata moja na hatujui serikali itamchulikuaje atakavyofika.
 
Itapendeza na kutia moyo iwapo TL atapata Sapoti ya ACT na Vyama vingine. Mwaka huu Ccm inatakiwa aisirudi madarakani
 
Mgombea wa uhakika na aliejipanga ni Nyalandu lakini bado mnahangaika na Lissu wakati inajulikana Kuna asilimia ndogo Sana kwa Lisu kusimama jukwaani na kuomba kura.

Huu utawala hautaruhusu kitu kama hicho kamwe.
Hata kama Wananchi wanamtaka?Huu Utawala ndiyo huamua na ni agombee kwenye vyama vyote hapa Tanzania? Wanatumia sheria IPI ya JMT?
 
Ccm wanahaha kila kona.

Mmeona sasa maendeleo ya barabara na madaraha sio hitaji la watz.
 
Bila shaka....na uonevu siku zote ndio mtaji wa CCM uliobaki

Kwani ni watu wangapi wamebambikiwa makosa nchini na mpaka Sasa wengine wapo mahabusu hadi tusitabiri kitakachomtokea Lissu.
 
Wahuni hao wanajua ili kubaki madarakani ni
lazima wafanye udhalimu na dhuluma za kila namna vinginevyo wataondolewa madarakani.

Bila shaka....na uonevu siku zote ndio mtaji wa CCM uliobaki

Kwani ni watu wangapi wamebambikiwa makosa nchini na mpaka Sasa wengine wapo mahabusu hadi tusitabiri kitakachomtokea Lissu.
 
Mgombea wa uhakika na aliejipanga ni Nyalandu lakini bado mnahangaika na Lissu wakati inajulikana Kuna asilimia ndogo Sana kwa Lisu kusimama jukwaani na kuomba kura.

Huu utawala hautaruhusu kitu kama hicho kamwe.

Kwamba membe anaona mpinzani wa kweli ni lisu wa chadema, lakini kaamua kwenda chama kingine. Inafikirisha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…