Utoto mwingi sana kwenye mipango ya hawa jamaa. Halafu same vicious cycle kila uchaguzi.Kwahiyo Membe akikubali kumuunga mkono Lisu, huyo Membe atakuwa siyo jasusi aliyekuja kuvuruga upinzani tena?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Sasa kama tunajua Lisuu atawekwa ndani, Nyalandu mgombea dhaifu... Kuna plani gani nyingine...kuungana na ACT kwa Membe.
Kwani "ujasiri wa sana nyuma ya keyboard..." una mashaka nao? Mbona unawapa homa sana.Tunawafahamu na tunazifahamu siasa za Tanzania.
Sema mnaujasiri sana nyuma ya keyboard...
?japo tuliowengi hatuna mpango wa kupiga kura kwa tume hii ya kihuni.
Huu ni uthibitisho kuwa Chadema mnaweweseka. Yaani unashauri Msigwa awe mgombea?Ya Lowassa 2015 yanatutosha, hatuwezi kurudia kosa la Lowassa. Huyo Membe ni Lowassa mwenye nywele nyeusi. Iwapo Lissu atawekea mizengwe, bora agombee Msigwa, japo tuliowengi hatuna mpango wa kupiga kura kwa tume hii ya kihuni.
Kwanza hili wazo la Lissu kuwekwa mahabusu ni kampeni mbovu mnazozileta hapa kutishia watu.Ni Membe au Lissu kutegemeana na hali itakavyo kuwa mara Lissu atakaporudi nchini. What if Lissu akazuiwa kwa kesi au kuwekwa mahabusu? Wapanga mipango watakuwa wapo makini na hilo na hivyo kuweka mayai kwenye makapu mawili.
Ni wajinga kweli kweli,!Utoto mwingi sana kwenye mipango ya hawa jamaa. Halafu same vicious cycle kila uchaguzi.
Wakimuweka mahabusu itakuwa zinga la promo kwa LissuKwanza hili wazo la Lissu kuwekwa mahabusu ni kampeni mbovu mnazozileta hapa kutishia watu.
CHADEMA ni lazima wasikubali kutishiwa na maigizo haya mnayotumwa kuja kuyaeneza hapa. Ni lazima wasimame imara, kama wataamua kuwa ndiye wanayemtaka awe mgombea wao wa kiti cha urais, basi ijulikane hivyo na wasibabaishwe.
Wanachotakiwa kuchambua sasa hivi ni sheria zinazohusika bila kujali vitisho. Wkijiridhisha kuwa hakuna sheria zinazozuia Lissu kusimama, basi wawe na msimamo kulitetea hilo kwa nguvu zote bila kujali mgombea wa CCM anataka nini.
CHADEMA haiwezi kusikiliza CCM wanataka nini ili kumpitisha mgombea wao Lissu.
Lissu amefanya kosa gani hadi wapuuzi hawa walete vitisho vyao hapa.
Huu ni uthibitisho kuwa Chadema mnaweweseka. Yaani unashauri Msigwa awe mgombea?
Seems ww ndo upo kazini:Endeleeni kujifariji, Membe ana kazi maalum huko upinzani mjandae kisaikolojia!!
Walau ataaminikaKwahiyo Membe akikubali kumuunga mkono Lisu, huyo Membe atakuwa siyo jasusi aliyekuja kuvuruga upinzani tena?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Hawekwi ndani mtuSasa kama tunajua Lisuu atawekwa ndani, Nyalandu mgombea dhaifu... Kuna plani gani nyingine...kuungana na ACT kwa Membe.
NdiyoMkuu hiyo karata ikifanyika Membe hatakuwa tena pandikizi? Ila akigombea kupitia ACT atakuwa pandikizi?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Siyo msindikizaji.. Mr President TAML anaapishwa, BM anakuwa PM, shida nini?Sasa mimi niumizwe na nini?
Shida moja watu kwenye siasa mko so brainwashed, huwa hamkubaliani na reality.
Membe angetaka kusindikiza wenzake angetulia CCM asubiri miaka ya Magu iishe.
Nachokwambia ni kwamba, there is no way Membe aje kuwa msindikizaji.
Vipi kuhusu Nyalandu nae ni aina ya Lowasa na MembeYa Lowassa 2015 yanatutosha, hatuwezi kurudia kosa la Lowassa. Huyo Membe ni Lowassa mwenye nywele nyeusi. Iwapo Lissu atawekea mizengwe, bora agombee Msigwa, japo tuliowengi hatuna mpango wa kupiga kura kwa tume hii ya kihuni.