Kuna kitu cha kujifunza kwa Zelensky

Sahihi
 
mnapenda propaganda , kipi alihaidiwa Urusi kwenye hayo makubaliano mpk akarudi nyuma ? wkt siku 2 kabla ya Uvamiz aliambiwa na viongoz wa Ulaya asifanye hivyo ila alikaidi
Mdusi 94 wewe hujui kitu chochote kuhusu URUSI kunywa gahawa tulia mwache mwanaume urusi afanye Vita vyake
 
Huna hela, huna helimu, huna akili ila unanipangia mimi cha kujadili. Uko unafanya nini kwenye huu uzi, si utafute nyuzi za mwanamke kulinda ndoa ukajadili na kinamama wenzio.
 
mnapenda propaganda , kipi alihaidiwa Urusi kwenye hayo makubaliano mpk akarudi nyuma ? wkt siku 2 kabla ya Uvamiz aliambiwa na viongoz wa Ulaya asifanye hivyo ila alikaidi
Hayo ni madai ya uwongo, Javelin zilikaanga vifaru vya Urusi mpaka aibu, tena vingine walikimbia wakaviacha.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Huna hela, huna helimu, huna akili ila unanipangia mimi cha kujadili. Uko unafanya nini kwenye huu uzi, si utafute nyuzi za mwanamke kulinda ndoa ukajadili na kinamama wenzio.
Sawa mtoto wa kiume. Mchambuzi mbobevu wa maswala ya kivita. Wenye hivyo vyote ulivyotaja,wapo kwenye mambo mengine hawajakalia kujadili pumba hapa. Daadeki. Kwa hiyo,unajiona umeitawala JF kwa mada za kijinga tuu. Kamwe.
Hata za kwako lazima nizitafute nijadili na wajinga wenzangu kama wewe.
 
Punguza hasira dogo...

Uzi upo kwenye jukwaa husika.
 
Wanaelewaje wakati hawana muda wa Kufuatilia habari, wanapenda Kusoma vichwa vya habari.
 
Marekani na washirika wake baada ya KUSHINDWA Vita Ukraine wameogopa fedheha, hivyo ktk BAROZI zake wamefungua kitengo Cha propagandah, Vijana wanakweda kupatiwa Simu janja na Gb za kutosha kupotosha uhalisia wa Vita ya Urusi na NATO.
Kila Mwezi kila kijana anapokea USD 65 na simu ya bure yenye Gb za kutosha.
Hivyo wasiwapotezee muda Kusoma habari za propagandah sababu wao wapo kazini, tena ni Dunia nzima wamefungua Dirisha la propagandah.
 
Kwa hiyo na ww umepewa Gb na simu na putin au vipi
 
Kwamba zile picha na video ni feki
 
Na vipi kuhusu maiti za wanajeshi wa russia waliouliwa kama kuku pale Kyiv?
 
Vita kaanzisha urusi somo tulipate kwa zelensky. Mimi nasema katufunza kua tusiogope kitu kwenye haki yako
 
Ndugu zangu, kweli tusiogope ukubwa wa jambo lolote kwenye maisha. Hata kama tunazingirwa na maadui pande zote, tukiwa na unajasiri, tutashinda tu. Ujasiri ni silaha tosha.
Ina maana Hanang hakukuwa na raia wajasiri?
 
Hakuna msafara wa km 60 unaijua 60 km mzee na msafara wake
Vile vifaru mlokua mnatuonesha vilikua vya mita 100 mpaka 300
vipo wap sasa ? tuanzie na hivyo halaf tuje kwenye msafar wenyew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…