stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Sawa mkuu.Hiyo javelin ilisaidia nini wakati warusi wanaendelea kuchukua maeneo?hawajarudi kwa sababu hawajaamua tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu.Hiyo javelin ilisaidia nini wakati warusi wanaendelea kuchukua maeneo?hawajarudi kwa sababu hawajaamua tu.
SahihiMiaka miwili iliyopipa jiji la Kyyiv lilizingirwa na majeshi ya Russia.
Wote tulishuhudia msafara mrefu wa magari ya kijeshi yakiwa ndani ya Ukraine.
Uvamizi ule ulitisha kwa kweli. Mimi binafsi niliona kabisa mwisho wa utawala wa Zelensky.
Wote tuliona majeshi ya Urusi yakiwa kila Kona ya Ukraine.
Cha ajabu, wote tulishuhudia unasiri wa Zelensky Aki mobilise raia wa Ukraine kwamba wasikubali. Wapigane. Kweli kama utani wote tuliona ule msafara ulivyoyayuka kama barafu.
Wiki iliyopita nimemuona waziri mkuu wa UK, Rishi Sunak akilihutubia bunge la Ukraine. Nilishangaa
Kwenye hotuba yake alisema miaka miwiri iliyopita, majeshi ya Urusi yalikuwa kilometer chache toka hapo bungeni.
Ndugu zangu, kweli tusiogope ukubwa wa jambo lolote kwenye maisha. Hata kama tunazingirwa na maadui pande zote, tukiwa na unajasiri, tutashinda tu. Ujasiri ni silaha tosha.
Mdusi 94 wewe hujui kitu chochote kuhusu URUSI kunywa gahawa tulia mwache mwanaume urusi afanye Vita vyakemnapenda propaganda , kipi alihaidiwa Urusi kwenye hayo makubaliano mpk akarudi nyuma ? wkt siku 2 kabla ya Uvamiz aliambiwa na viongoz wa Ulaya asifanye hivyo ila alikaidi
Huna hela, huna helimu, huna akili ila unanipangia mimi cha kujadili. Uko unafanya nini kwenye huu uzi, si utafute nyuzi za mwanamke kulinda ndoa ukajadili na kinamama wenzio.Hizi picha ulipiga wewe? Kama jibu ni hapana,wewe na mada yako, 🚮 .
Wengine huku wanahangaishwa na vyuma,wengine maji,wengine umeme, na nyie mmekalia stori za vijiweni.
Ukraine au Russia wanawapa ripoti za vita yao kama kina nani? Ili muwasaidie nini labda! Mpo tu kama nyani,leo mnajibebisha msikojulikana.
Majenerali saba wa Urusi waliouwawa kwa nyakati tofauti kwenye hii vita nao ni wa makampuni 😂urusi hawatumii jeshi lao kwenye vita ndogo kama hii, wanatumia makampuni ya ulinzi na watu ambao wako loose loose mtaani kama wewe wanawatupa front line kwa mshahara wa kawaida tu 🐒
Hayo ni madai ya uwongo, Javelin zilikaanga vifaru vya Urusi mpaka aibu, tena vingine walikimbia wakaviacha.mnapenda propaganda , kipi alihaidiwa Urusi kwenye hayo makubaliano mpk akarudi nyuma ? wkt siku 2 kabla ya Uvamiz aliambiwa na viongoz wa Ulaya asifanye hivyo ila alikaidi
Sawa mtoto wa kiume. Mchambuzi mbobevu wa maswala ya kivita. Wenye hivyo vyote ulivyotaja,wapo kwenye mambo mengine hawajakalia kujadili pumba hapa. Daadeki. Kwa hiyo,unajiona umeitawala JF kwa mada za kijinga tuu. Kamwe.Huna hela, huna helimu, huna akili ila unanipangia mimi cha kujadili. Uko unafanya nini kwenye huu uzi, si utafute nyuzi za mwanamke kulinda ndoa ukajadili na kinamama wenzio.
ndio ujue sasa urusi ni mjanja 7generals in 3 yrs, uliza upande wa pili kama kuna alie salia hai hata moja na walikua wangapMajenerali saba wa Urusi waliouwawa kwa nyakati tofauti kwenye hii vita nao ni wa makampuni 😂
Punguza hasira dogo...Hizi picha ulipiga wewe? Kama jibu ni hapana,wewe na mada yako, 🚮 .
Wengine huku wanahangaishwa na vyuma,wengine maji,wengine umeme, na nyie mmekalia stori za vijiweni.
Ukraine au Russia wanawapa ripoti za vita yao kama kina nani? Ili muwasaidie nini labda! Mpo tu kama nyani,leo mnajibebisha msikojulikana.
Kwahiyo hao majenerali saba wa Urusi waliouwawa ni wa makampuni?ndio ujue sasa urusi ni mjanja 7generals in 3 yrs, uliza upande wa pili kama kuna alie salia hai hata moja na walikua wangap
ndio 🐒Kwahiyo hao majenerali saba wa Urusi waliouwawa ni wa makampuni?
Wanaelewaje wakati hawana muda wa Kufuatilia habari, wanapenda Kusoma vichwa vya habari.utakua hufuatilii habari, ule msafara ulirudi urusi baada ya germany, turkey, france, kuweka kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano......
zele alikubali pia......
siku 3 baadae Boris akaenda kiev kumwambia Zele wao (west/nato) hawatasaini hayo makubaliano, inatakiwa waendelee kupigana.....ndii ukaona vita inaendelea........
Kwa hiyo na ww umepewa Gb na simu na putin au vipiMarekani na washirika wake baada ya KUSHINDWA Vita Ukraine wameogopa fedheha, hivyo ktk BAROZI zake wamefungua kitengo Cha propagandah, Vijana wanakweda kupatiwa Simu janja na Gb za kutosha kupotosha uhalisia wa Vita ya Urusi na NATO.
Kila Mwezi kila kijana anapokea USD 65 na simu ya bure yenye Gb za kutosha.
Hivyo wasiwapotezee muda Kusoma habari za propagandah sababu wao wapo kazini, tena ni Dunia nzima wamefungua Dirisha la propagandah.
Kwamba zile picha na video ni fekiutakua hufuatilii habari, ule msafara ulirudi urusi baada ya germany, turkey, france, kuweka kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano......
zele alikubali pia......
siku 3 baadae Boris akaenda kiev kumwambia Zele wao (west/nato) hawatasaini hayo makubaliano, inatakiwa waendelee kupigana.....ndii ukaona vita inaendelea........
Na vipi kuhusu maiti za wanajeshi wa russia waliouliwa kama kuku pale Kyiv?utakua hufuatilii habari, ule msafara ulirudi urusi baada ya germany, turkey, france, kuweka kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano......
zele alikubali pia......
siku 3 baadae Boris akaenda kiev kumwambia Zele wao (west/nato) hawatasaini hayo makubaliano, inatakiwa waendelee kupigana.....ndii ukaona vita inaendelea........
Ina maana Hanang hakukuwa na raia wajasiri?Ndugu zangu, kweli tusiogope ukubwa wa jambo lolote kwenye maisha. Hata kama tunazingirwa na maadui pande zote, tukiwa na unajasiri, tutashinda tu. Ujasiri ni silaha tosha.
vipo wap sasa ? tuanzie na hivyo halaf tuje kwenye msafar wenyewHakuna msafara wa km 60 unaijua 60 km mzee na msafara wake
Vile vifaru mlokua mnatuonesha vilikua vya mita 100 mpaka 300