Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Tangu nimeiona ile Clip ya yule ni Mpakistan kama sikosei, jamaa alikuwa anazijaza kwenye chupa halafu anapack! Ana madumu na madumu ya mzigo, ana chupa za kutosha tu za Johny Mtembezi, Mwalimu nk. Nikakoma kunywa Whisky na Brandy
Iko wapi iyo clip mkuu maana mbona hatari mtu unajua wanywa cognac kumbe utopolo.
 
Henessy ni ya enzi hizoooo...........
 
Tunachosema ni pombe tu ya kawaida hamna chochote cha kushobokea
Ni ushamba wa kibongo
Si kwamba ukinywa una hela
Na Henessy za huko bongo ni za kuchakachua za kichina hizo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tunachosema ni pombe tu ya kawaida hamna chochote cha kushobokea
Ni ushamba wa kibongo
Si kwamba ukinywa una hela
Na Henessy za huko bongo ni za kuchakachua za kichina hizo

Kama huna hela unaanzaje nunua hennessy??, na anaekunywa hio kitu ofcoz anahela mzee. Hennessy ni bonge la kiburudisho acha mawazo ya kimaskin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…