Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Duh!...Weee pombe ukinywea ndani hata haina ladha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!...Weee pombe ukinywea ndani hata haina ladha
For no reason⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️curiosity tu chief
Hahah piga Mma mzee baba.Lazma niishi nayo leo
Hapa mwanza kuna ambiance, hata watu wa chato ndo kinywaji chaoJust to feel the taste
K vanga wanaita watoto was mjiniNiulize kuhusu K-Vant plz!!
100%Sometimes ni hypes tu na trend.
Wabongo wengi ni wafuasi wa trends.
Kwani ni nini kinafanya mtu atoke Tegeta au Bunju huko afunge safari mpaka Liquid bar Kurasini au 40 40 Tabata kunywa pombe wakati Pombe ni zile zile hata ukinywea ndani.
100%MKUU KWANI HUWAJUI WATANZANIA WAKISHOBOKEA KITU?HATA KAMA HAKINA UBORA ILA WAKIAMUA KUKIPENDA HUWA HAWASIKII WALA HAWAONI.
Iko wapi iyo clip mkuu maana mbona hatari mtu unajua wanywa cognac kumbe utopolo.Tangu nimeiona ile Clip ya yule ni Mpakistan kama sikosei, jamaa alikuwa anazijaza kwenye chupa halafu anapack! Ana madumu na madumu ya mzigo, ana chupa za kutosha tu za Johny Mtembezi, Mwalimu nk. Nikakoma kunywa Whisky na Brandy
Henessy ni ya enzi hizoooo...........Pombe wanazosifia wanamuziki wa marekani ndio wabongo nao wanashoboka.
-Cris ,belaree,ciroc,barcadi na henesi.
=====
After the show it's the after party then
After the party it's the hotel lobby and
After the Belve' then it's probably Cris'.
You see V-I-P; me, Kelly, Gotti, and Hov'
Drinkin Cris' like its H-2-O
======
Fresh Prince of Bel-Aire, all they do is stare.
Tunachosema ni pombe tu ya kawaida hamna chochote cha kushobokeaAmbao hamna hela ndo mnaipondo ila hennessy ni bonge moja ya kiburudsho aseee
Tunachosema ni pombe tu ya kawaida hamna chochote cha kushobokea
Ni ushamba wa kibongo
Si kwamba ukinywa una hela
Na Henessy za huko bongo ni za kuchakachua za kichina hizo
Kwani sh ngapi kitaa?Kama huna hela unaanzaje nunua hennessy??, na anaekunywa hio kitu ofcoz anahela mzee. Hennessy ni bonge la kiburudisho acha mawazo ya kimaskin
Kwani sh ngapi kitaa?
Maisha hayalingani haya.... wakati kwa wengine 50k ni budget ya mwezi, kwa wengine ni kichupa kidogo cha HennessyIna depend na type, na size hadi ya 50k ipo ila kachupa kadogo[emoji28]