Kuna kiwanda nimewambia niwape mteja kutoka china wa mazao !! Meneja kagoma kasema wao hawafanyi kazi na mtu binafsi na middle man??

Kuna kiwanda nimewambia niwape mteja kutoka china wa mazao !! Meneja kagoma kasema wao hawafanyi kazi na mtu binafsi na middle man??

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Nimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset.
Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!!

We manager ni zero brain kabisa!!
Najua huu uzi utausoma

NB: Nadhan angekua ni mwenye kiwanda asingefanya huu ujinga
 
Eneo lipoje au ndio ili pale kibaha
IMG_0792.jpeg
 
Nimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset.
Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!!

We manager ni zero brain kabisa!!
Najua huu uzi utausoma

NB: Nadhan angekua ni mwenye kiwanda asingefanya huu ujinga
Pole, umeingiia biashara ya Mtu hapo. Atakuambia wanafanya kazi na Wakala wakati Midde man ndio haohao Mawakala
 
Sera za kibiashara zina tofautiana mkuu, una jua hizi deal za mtu binafsi zime otesha nyasi vibarua vya watu.

first time mna piga hela, second time Yana oza na Kwa vile wewe hutambuliki kisheria.

Yeye ndio ana wajibishwa, unge kuwa wewe unge fanya kipi?
 
Ni sahihi mkuu ile kwenye jambo lenye faida kubwa kwenye kampuni
Management inakaa inajadili kuona risk zake na faida yake
Huyo meneger ni hewa ningekuwa Mkurugenzi ningemtumbua
Sera za kibiashara zina tofautiana mkuu, una jua hizi deal za mtu binafsi zime ktesha nyasi vibarua vya watu.

first time mna piga hela, second time Yana oza na Kwa vile wewe hutambuliki kisheria.

Yeye ndio an wajibishwa, unge kuwa wewe unge fanya kipi?
 
Sijui ni nini sahihi cha kucomment maana thread haina nyama za kutosha zaidi ya kulaumu

Hujasema huyo mteja, yeye ana kampuni?....

Je, wewe kama middle man sawa huna kampuni je una track record gani au kazi za nyuma ulizofanya zinazoweza muaminisha mtu kuwa issue ipo sawa

Lakini pia lugha uliyotumia na jinsi ulivyojiweka unaendana na hilo deal unalotaka kuwapa

Imagine mtu aje na deal la mamilioni Ila kashuka na daladala na kavaa kama kina sisi. Hapo lazma kuwe na redflags

Mkuu sio issue tu ya hela Ila kuna kupigwa pia hivyo lazma mtu ajiridhishe kuwa unachokisema unaweza kukifanyia kazi hivyo kampuni ikiwa na usajili kuna assurance unawapa
 
Ni sahihi mkuu ile kwenye jambo lenye faida kubwa kwenye kampuni
Management inakaa inajadili kuona risk zake na faida yake
Huyo meneger ni hewa ningekuwa Mkurugenzi ningemtumbua
mkuu una jua biashara Zina fata njia, haziji Kama upepo tu kuwa utavuta wowote!.

Una jua Kuna competition za kibiashara, competitor wako aki kulisha deal hewa ili uharibu cv yako ita kuwaje?.

Kuhusu kumfukuza manager 😂, if wishes were horses poor people would ride.
 
Policy na condions zinasetiwa na robot ?
Kwa jambo lenye faida kubwa Kwa kampuni kikao Cha uongozi kinakaa kujadiliwa
Hata Sheria za nchi Ikiwemo za madini zilibadilishwa kwa masilahi zaidi sembuse kampuni
Kama wewe ndo manager tunapaswa utumbuliwa huna akili ya kupokea mawazo mapya
Kila kampuni ina policy zake na Conditions zake kwahyo tusipangiane
 
Back
Top Bottom