Kuna kiwanda nimewambia niwape mteja kutoka china wa mazao !! Meneja kagoma kasema wao hawafanyi kazi na mtu binafsi na middle man??

Kuna kiwanda nimewambia niwape mteja kutoka china wa mazao !! Meneja kagoma kasema wao hawafanyi kazi na mtu binafsi na middle man??

Policy na condions zinasetiwa na robot ?
Kwa jambo lenye faida kubwa Kwa kampuni kikao Cha uongozi kinakaa kujadiliwa
Hata Sheria za nchi Ikiwemo za madini zilibadilishwa kwa masilahi zaidi sembuse kampuni
Kama wewe ndo manager tunapaswa utumbuliwa huna akili ya kupokea mawazo mapya
asante dj
 
mkuu una jua biashara Zina fata njia, haziji Kama upepo tu kuwa utavuta wowote!.

Una jua Kuna competition za kibiashara, competitor wako aki kulisha deal hewa ili uharibu cv yako ita kuwaje?.

Kuhusu kumfukuza manager 😂, if wishes were horses poor people would ride.
ohoo
 
Sijui ni nini sahihi cha kucomment maana thread haina nyama za kutosha zaidi ya kulaumu

Hujasema huyo mteja, yeye ana kampuni?....

Je, wewe kama middle man sawa huna kampuni je una track record gani au kazi za nyuma ulizofanya zinazoweza muaminisha mtu kuwa issue ipo sawa

Lakini pia lugha uliyotumia na jinsi ulivyojiweka unaendana na hilo deal unalotaka kuwapa

Imagine mtu aje na deal la mamilioni Ila kashuka na daladala na kavaa kama kina sisi. Hapo lazma kuwe na redflags

Mkuu sio issue tu ya hela Ila kuna kupigwa pia hivyo lazma mtu ajiridhishe kuwa unachokisema unaweza kukifanyia kazi hivyo kampuni ikiwa na usajili kuna assurance unawapa
Angechukua muda kujiridhisha kabla ya kuropoka

Mteja ana kampuni,
Na lazima angefika site
 
Back
Top Bottom