Sijui ni nini sahihi cha kucomment maana thread haina nyama za kutosha zaidi ya kulaumu
Hujasema huyo mteja, yeye ana kampuni?....
Je, wewe kama middle man sawa huna kampuni je una track record gani au kazi za nyuma ulizofanya zinazoweza muaminisha mtu kuwa issue ipo sawa
Lakini pia lugha uliyotumia na jinsi ulivyojiweka unaendana na hilo deal unalotaka kuwapa
Imagine mtu aje na deal la mamilioni Ila kashuka na daladala na kavaa kama kina sisi. Hapo lazma kuwe na redflags
Mkuu sio issue tu ya hela Ila kuna kupigwa pia hivyo lazma mtu ajiridhishe kuwa unachokisema unaweza kukifanyia kazi hivyo kampuni ikiwa na usajili kuna assurance unawapa