Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Wapi huko na zao Gani?Nimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset.
Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!!
We manager ni zero brain kabisa!!
Najua huu uzi utausoma
NB: Nadhan angekua ni mwenye kiwanda asingefanya huu ujinga
Utakua ugomvi binafsiTaja hicho kiwanda atajirekebisha
zao la parachichiWapi huko na zao Gani?
hatar
Sawa ndugu meneja atakuwa amekuelewa.Kila kampuni ina policy zake na Conditions zake kwahyo tusipangiane.
Pole, umeingiia biashara ya Mtu hapo. Atakuambia wanafanya kazi na Wakala wakati Midde man ndio haohao MawakalaNimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset.
Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!!
We manager ni zero brain kabisa!!
Najua huu uzi utausoma
NB: Nadhan angekua ni mwenye kiwanda asingefanya huu ujinga
Sera za kibiashara zina tofautiana mkuu, una jua hizi deal za mtu binafsi zime ktesha nyasi vibarua vya watu.
first time mna piga hela, second time Yana oza na Kwa vile wewe hutambuliki kisheria.
Yeye ndio an wajibishwa, unge kuwa wewe unge fanya kipi?
Umewahi fanya biashara ya kuuza Parachichi nje? Isikie hivyo hivyo hio Biashara ni risk vibaya mno ana kila haki ya kukataa Individual, Bila mikataba ya maana hata mimi sifanyi hio biashara.zao la parachichi
mkuu una jua biashara Zina fata njia, haziji Kama upepo tu kuwa utavuta wowote!.Ni sahihi mkuu ile kwenye jambo lenye faida kubwa kwenye kampuni
Management inakaa inajadili kuona risk zake na faida yake
Huyo meneger ni hewa ningekuwa Mkurugenzi ningemtumbua
Kila kampuni ina policy zake na Conditions zake kwahyo tusipangiane
yupo sahihi.Nimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset.
Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!!
We manager ni zero brain kabisa!!
Najua huu uzi utausoma
NB: Nadhan angekua ni mwenye kiwanda asingefanya huu ujinga
ndio sheria zenuyupo sahihi.