Kuna kubwa la kujifunza hapa. Pumzika kwa Amani Aziza (Janet) Frisby

Hao hawapatikan sababu ya uoga tu wa kuhojiwa ila hakuna kitu hapo
 
Usiwahi kumuamini mkenya yeyote anayeishi Nairobi.
Hii taarifa kwangu ni ya tatu huko huko Nairobi, wa kwanza mtanzania alikwenda kikazi akafariki kupimwa sumu katika chakula imemuua, bint mwingine pacha wake tulikuwa naye Tanzania akaletewa taarifa mwenzie kawekewa sumu kwenye chakula na huyu naye, hawa watu Wana roho mbaya kweli, binafsi siwapendi Wana wivu wa hovyo sana
 
Hao hawapatikan sababu ya uoga tu wa kuhojiwa ila hakuna kitu hapo
Usipende kuongea vitu usivyovijua kwa ujuaji usio na maana unaokusumbua kichwa.

Kabla habari hazijasambaa kwa marafiki kwamba amefariki dada mtu alisema kwa familia yao na kwa vyombo vya usalama kwamba alikuwa na fulani, fulani, fulani na fulani. Kumbuka hao ni wazungu sio waafrika wajinga! Hawakurupukagi kwenye utendaji mambo.

Kabla habari hazijasambaa wala hazijawafikia aliokuwa nao tayari walikuwa hawapatikani! They knew earlier what they did and what's the results are going to bloom!

Punguza ujuaji hommie
 
Acha uboya
Unaungaunga utopolo...
 
Hao mabinti wanaoitwa ma slay queens
Ni wahuni
Ni matapeli
Ni waongo
Ni wababaifu
Hata wakifa hufa na mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…