Kuna kubwa la kujifunza hapa. Pumzika kwa Amani Aziza (Janet) Frisby

Kuna vifo vingine usababishwa na Ulevi!
 
Wanatabia za kikatili sana
 
Tatizo kichwa Chako kimekalili kinawaza sumu nyie ndio aina ya wale watu hata watumishi wa afya wakifanya postmortem wakaleta ushahidi bado utapinga kisa unataka watu wote waamini unacho amini wewe acha kuitetemekea ngonzi nyeupe as if wao sijui ni viumbe gani acha umama bado unausela mavi frani hivi shule ya hayo mambo huna ila unalizimisha watu waamini ni sum kisa watu hawapokei cm ivi pombe unaichukulia simple simple ? Nitakuja na shule ya pombe inavopukutisha vijana ili watu kama nyie wenye uwezo mfinyi msiwe mnaongea ongea
 
Kuna kujitapikia usingizini na matapishi kwenda njia ya hewa, au moyo kushindwa kufanya kazi. Walevi wengi hufa namna hii.
Uko sahihi sana,mimi hii kitu ilishawahi kumtokea jamaa yangu,akarest in peace kwa sababu ya ulevi,alikunywa pombe siku nzima,akarudi nyumbani usiku mnene,akajifungia chumbani,kesho yake mpk saa 6 mchana jamaa hajaamka,kuvunja mlango jamaa wa juzi,kajitapikia na matapishi yakaziba koo la hewa.......
 
Unamaanisha kwamba Huyo Dadaake hajui hao Marafiki Wote wa Aziza Wanapoishi?
 
Muovu anapo uwawa na waovu wenzake,ibilisi kamwe hawezi kukutea kwenye anga zake, suppose angekuwa anampenda Mungu, yuko nyumbani katulia, sumu angewekewa saa ngapi!? Kifupi huko aliko anatamani angepata DK 1 , atubu.. Mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Hawa sio wakuwasikitikia hata kidogo, hayo ndio maisha walio chagua, kifupi ukiwa hapa duniani tambua tunaishi kwa kanuni na taratibu na sheria, Mungu hakutaka tuishi hovyohovyo, ndio maana kaweka amri, na Neno linasema njia ya waendayo upotevuni ni pana Sana, na kumbuka mwili ndio unakufa,Bali nafsi na roho huishi milele zikiwa na hisia kama alivyokuwa duniani, sasa alichokipanda ndio alichovuna.
 
Maneno magumu,yanachoma,lakini ndio ukweli,living has rules,na Mungu ametupa sheria na taratibu ili tuweze kuwa salama,ingawa swala la kufa alishaliweka wazi kuwa 'hakika tutakufa'...
 
Mkuu uko sahihi Sana, na kwa sababu watu wanafikiri wamejiumba wenyewe, hata kama Mungu atumuoni ila tutambue tupo kwenye mamlaka kamili ambayo inatupasa kufuata sheria, ukiwa muovu hapa duniani ni swala la muda, utaenda unapopachagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…